Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema hapo alikosea asee...Alisamehewa mwanzoni akaanza jeuri..mara kumtukana mama kanumba..so asulubiwe tu..
Aendelee kunyoosha maelezo yake bila kujichanga changanya.Sijajua anatetewa na wakili gani.Ila kama alimuua basi hawezi pona.
Halafu akishinda hii kesi watasherehekea ushindi huo pamoja na wakili wake
Mmhhhh alikuwa minor?watamsamehe tu, maana hata kama alitenda kosa, kipindi kile 2012 bado alikuwa minor(below 18 years)
yeahMmhhhh alikuwa minor?
Okay poapoayeah
Acha mambo ya ukabila kwenye mambo yanayoonekana yapo wazi kisheria!Kanumba alikuwa msukuma....Makonda Msukuma...Magufuli Msukuma.
Nakwambia hii Lulu atoki.
Unakua hujaua,bali marehemu kajiua mwenyewe...!Ukiwa unaendesha gari..bahati mbaya mtu akakatiza mbele ukamgonga akafariki..unakuwa umeua au hujaua.??
[emoji23][emoji23][emoji28]Unakua hujaua,bali marehemu kajiua mwenyewe...!
Kwa hiyo ukiwa huna motive ya kuua huwezi kuua? Manslaughter maana yake,muuaji hakuwa na malice afforethought,hakuwa na motive lakni aliua bila kukusudia.Kanumba alikufa mwenyewe huyu mtoto ajaua jaman mbn ipo obvoius tu hana uwezo wa kuua alaf hakua na hiyo motive am sure hakimu ataliona hilo, sema huyu mtoto aache ushangingi sbb ni mdogo ana mambo makubwa na ndo mana yanampata makubwa sijui ni malezi sijui mama wa kulaumiwa.
Madam, shida ni kwamba kesi ni Lulu Vs Jamuhuri na si Lulu Vs Familia ya Kanumba.Masikini Lulu. Wamsamehe tu.
Ningekuwa mimi ndo mama kanumba ningesamehe tu kwani hata akifungwa mwanae hawezi kurudi
Hizo premises zako hatari mkuuKanumba alikuwa msukuma....Makonda Msukuma...Magufuli Msukuma.
Nakwambia hii Lulu atoki.
Hiyo penal code siyo ya nchi hii,,adhabu ya kuua bila kukusudiwa penal code yetu kifungu cha 198, ni kifungo cha maisha ingawa mitigation hufnyika kupunguza adhabu refer,Daud Sabaya v.Jamuhuri CA 1994.Stanley Mrema v.jamuhuri 2005.Lulu kesi yake ni kuua bila kukusudia na adhabu yake nikifungo kisichozidi miaka 30 ila angeua kwa kukusudia ni kifungo cha maisha au kunyongwa! Hiyo ndo criminal law under Penal Code ya Tanzania!
Kuna aina mbili tu za kesi. Hiyo ya tatu ipo ndani ya jinai.Samcezar HONGERA KWA MAELEZO MAZURI
LAKINI MIMI NAJUA KUNA AINA TATU ZA KESI
1. KESI YA MADAI
2. KESI YA JINAI
3. KESI YA MAUAJI (MURDER CASE)
NAMBA 2 NA 3 ANAYESHTAKI NI JAMHURI
NAMBA MOJA, KUNA MDAI (MLALAMIKAJI) NA MDAIWA.
Kwan mahakama kumshtak lulu inapata faida ganMkuu Lulu akifungwa we unapata faida gani?
HahahahaKwan mahakama kumshtak lulu inapata faida gan
Hiyo ndio kazi ya mahakama labda utuambie na wewe kumchukia Lulu ndio kazi yako!?Kwan mahakama kumshtak lulu inapata faida gan