Mahakama kuu imesema msanii Elizabeth Michael (Lulu) ana kesi ya kujibu

Mahakama kuu imesema msanii Elizabeth Michael (Lulu) ana kesi ya kujibu

Ila picha na habari haviendani. Hii picha ingefaa habari ya " Majei amvalisha pete Lulu" au " Ujauzito wa Lulu umepotea kama wa Wema"
 
Alisamehewa mwanzoni akaanza jeuri..mara kumtukana mama kanumba..so asulubiwe tu..
Sema hapo alikosea asee...

Huwaga kana maneno ya shombo sana

Nasikia yule Seth ( marehemu) alitoaga mpunga wa kufa mtu

Ndo kakaanza nyodo na shombo kwa mama kanumba daah
 
Sasa alikuwashaje gari akaendaa coco akati alikuwa mtotoo hana hata leseni!??? Vip ilee ishu ya Alikiba kumchukua na garii baada ya tukioo
 
Aendelee kunyoosha maelezo yake bila kujichanga changanya.Sijajua anatetewa na wakili gani.Ila kama alimuua basi hawezi pona.

Halafu akishinda hii kesi watasherehekea ushindi huo pamoja na wakili wake


Peter Kibatala
 
kweli sheria hufata mkondo wake,,na enzi hizi za magufuli mmh mungu amsaidie lulu.
 
Kanumba alikufa mwenyewe huyu mtoto ajaua jaman mbn ipo obvoius tu hana uwezo wa kuua alaf hakua na hiyo motive am sure hakimu ataliona hilo, sema huyu mtoto aache ushangingi sbb ni mdogo ana mambo makubwa na ndo mana yanampata makubwa sijui ni malezi sijui mama wa kulaumiwa.
Kwa hiyo ukiwa huna motive ya kuua huwezi kuua? Manslaughter maana yake,muuaji hakuwa na malice afforethought,hakuwa na motive lakni aliua bila kukusudia.
 
Masikini Lulu. Wamsamehe tu.
Ningekuwa mimi ndo mama kanumba ningesamehe tu kwani hata akifungwa mwanae hawezi kurudi
Madam, shida ni kwamba kesi ni Lulu Vs Jamuhuri na si Lulu Vs Familia ya Kanumba.
 
Lulu kesi yake ni kuua bila kukusudia na adhabu yake nikifungo kisichozidi miaka 30 ila angeua kwa kukusudia ni kifungo cha maisha au kunyongwa! Hiyo ndo criminal law under Penal Code ya Tanzania!
Hiyo penal code siyo ya nchi hii,,adhabu ya kuua bila kukusudiwa penal code yetu kifungu cha 198, ni kifungo cha maisha ingawa mitigation hufnyika kupunguza adhabu refer,Daud Sabaya v.Jamuhuri CA 1994.Stanley Mrema v.jamuhuri 2005.
 
Samcezar HONGERA KWA MAELEZO MAZURI

LAKINI MIMI NAJUA KUNA AINA TATU ZA KESI
1. KESI YA MADAI
2. KESI YA JINAI
3. KESI YA MAUAJI (MURDER CASE)

NAMBA 2 NA 3 ANAYESHTAKI NI JAMHURI

NAMBA MOJA, KUNA MDAI (MLALAMIKAJI) NA MDAIWA.
Kuna aina mbili tu za kesi. Hiyo ya tatu ipo ndani ya jinai.
 
Back
Top Bottom