Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 276
- 473
Hapo sasa!Walikua wapi kipindi cha nyuma zaidi ya miaka 7 hv.
Walikua wapi kipindi cha nyuma zaidi ya miaka 7 hv.
Na pia kwenye hukumu kuhusu wakurugenzi kusimamia chaguzi eti tu walikula kiapo kutenda haki!Jamhuri hawachelewi kukata rufaa na kushinda! Kama wachawi vile. Maana hata kwenye hukumu ya kuruhusu Mgombea binafsi, walifanya hivi hivi.
Ukosefu wa Misamiati ,kiswahili pengine Hakina uwanja Mpana wa misamiatiHivi ni kwanini mambo ya sheria huandikwa kwa lugha ya Kiingereza na sio Kiswahili?
Je, hii hukumu itafanyiwa kazi!?Mahakama Kuu Tanzania imeamuru hakuna wagombea Ubunge,Udiwani wala Wenyeviti wa S/Mitaa/Vijiji/Vitongoji kupita bila kupingwa. Imetamka vifungu hivyo ni BATILI vinakwenda kinyume na Katiba.
---
View attachment 2570208View attachment 2570211View attachment 2570217
MAGUFULI ANAVUNJA KATIBA KWA MARA YA NNE Halafu kuna WAJINGA wanamsifiaMahakama Kuu Tanzania imeamuru hakuna wagombea Ubunge,Udiwani wala Wenyeviti wa S/Mitaa/Vijiji/Vitongoji kupita bila kupingwa. Imetamka vifungu hivyo ni BATILI vinakwenda kinyume na Katiba.
---
View attachment 2570208View attachment 2570211View attachment 2570217