Mahakama Kuu: Kutangaza Washindi wa Uchaguzi waliopita bila kupingwa ni Kinyume cha Katiba

Mahakama Kuu: Kutangaza Washindi wa Uchaguzi waliopita bila kupingwa ni Kinyume cha Katiba

Mnatubqbaisha babaisha na kingreza chenu cha kisheria kwanini lakini?
 
Watatunga kanuni ya kupiga kura ya NDIYO na HAPANA na kuzuia vyama visivyo na mgombea kupiga kampeni sehemu husika.
 
Hivi ni kwanini mambo ya sheria huandikwa kwa lugha ya Kiingereza na sio Kiswahili?
Kiingereza ndiyo lugha yetu official ya kwanza. Nsiyo lugha ya kitaalam. Ya pili ni Kiswahili.

Ni sawa tu enzi za wayahudi. Lugha ya kitaalam ilikuwa Kigiriki, lugha ya mawasiliano ya kawaida, Kiebrania.

Mbona hujauliza kwa nini tiba yako hospitalini inaandikwa kwa Kiingereza?
 
Du! Najaribu,kuyapima mabaraza yetu ya mitaa,kitongoji,kijiji ,Kata,mabaraza ya halmashauri za manisipa ,miji ,majiji pamoja na bunge LETU.

sipati picha na mabaraza haya yameshafanya maamuzi mengi, kusikiliza, kupanga na kupitisha mambo mengi.

lilhali kumbe Kuna hitilafu kwenye upatikanaji wa baadhi ya wajumbe wanaoshiriki kusikiliza, kuamua, kutunga na kupitisha mambo nyeti ya kijamii na kitaifa.
 
[emoji23][emoji23]mama yuko kazini
Tunampelekea ujumbe kwamba tunataka awajibike katika kuwawajibisha watu badala ya kujiweka pembeni na kuagiza watu kwa kuwapa uhuru wa kufanya apendavyo.
Jambo likifika kwake au akilugundua basibajue hili ni tatixo kubwa na linamhutaji yeye mwenyewe alifanyie kazi ma siyo kuagiza watu na kuwapa uhuru wakafanye watskavyo.
 
Hao nao wivu tu unawasumbuwa kisa tu uchaguzi unakalibia ndio wanaanza kujisemelesha ili iweje kwanza! Hapo jaji kajichanganya

Kwahiyo kama mshindani wangu kajitowa katikati ya kinyanganyilo mimi sipaswi kutangazwa kama mshindi[emoji20] huu utakuwa uonevu sasa
Kura ya ndio au hapana, ukipata nusu ya kura za ndio basi unakuwa mshindi. Kumbuka kinachoangaliwa ni Jamii unayotaka kuiongoza na sio mshindani wako. JAMII UNAYOTAKA KUIONGOZA INAKUHITAJI?
WE UNADHANI BABU TALE WANAMTAKA PALE MOROGORO?
 
Ingekuwa enzi zile ungesikia mwanasheria mkuu wa serikali anajitayarisha kukata rufaa huku serikali ikikimbiza muswada wa dharula Bunge la CCM kuweka viraka ktk katiba lengo ni kupingana na hukumu ya benchi la majaji watatu wa Mahakama Kuu ya Tanzania .


Ngoja tusikie serikali hii ya CCM ya awamu ya 6 itakuwa tofauti na ili yakwao ya awamu ya 5
 
Halafu sheria hizo zimetungwa na Bunge na sifa kuu ya kuwa Mbunge Nchi hii ni kujua Kusoma na Kuandika.

Yaani, Nchi ina vituko hii........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwambae alitakae na kuna jaji aliwahi toa hukumu kwa lugha ya kiswahili!!

Rip Mwamba kwa kuonyesha njia!!
Hahaaa!!ndio jamaa aliwaambia wanyonge kuwa hukumu zikiandikwa kwa kiswahili,hawatahitaji wanasheria/mawakili kwenye kusimamia kesi zao!!jamaa lilikuwa lionge lile?!!ina maana UK hakuna mawakili?kwa kuwa hukumu zao ziko kwa kingereza?MUNGU FUNDI
 
Kiingereza ndiyo lugha yetu official ya kwanza. Nsiyo lugha ya kitaalam. Ya pili ni Kiswahili.

Ni sawa tu enzi za wayahudi. Lugha ya kitaalam ilikuwa Kigiriki, lugha ya mawasiliano ya kawaida, Kiebrania.

Mbona hujauliza kwa nini tiba yako hospitalini inaandikwa kwa Kiingereza?
Hiyo kuhusu tiba kua ya kiingereza nimekuachia uulize wewe.
 
Ndiyo maana Waitara alikuwa analia kama mtoto aliyebemendwa anajua ubunge ndiyo baibai tena 2025 kila mtu ajibebe mwenyewe

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kama huna jibu piga kimya usilete ujuaji wakijinga hapa,

Huoni kua swali langu limeuliza kuhusu lugha?
Nchi zote za africa mashariki zina tatizo hilo, wakenya wakati wa kuomba kura uongea kiswahili lkn wanapokuwa bungeni au vikao vya maendeleo uongea kiingereza, na Uganda hivyohivyo kganda na Kiingereza
 
Back
Top Bottom