Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Mnatubqbaisha babaisha na kingreza chenu cha kisheria kwanini lakini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiingereza ndiyo lugha yetu official ya kwanza. Nsiyo lugha ya kitaalam. Ya pili ni Kiswahili.Hivi ni kwanini mambo ya sheria huandikwa kwa lugha ya Kiingereza na sio Kiswahili?
Siasa za kipuuzi kabisa, dhalimu hata alipokuwa mbunge alikuwa anatumia sana njia hiyo kupata ubunge. Alipokuwa rais kwa hii katiba mbovu ndio akawa anafanya atakavyo waziwazi.Hata kwenye Mfumo wa chama Kimoja mambo ya kupita bila kupingwa hayakuwepo!
Na hili nalo mkaliangalie
Game of thronesMahakama Kuu Tanzania imeamuru hakuna wagombea Ubunge, Udiwani wala Wenyeviti wa S/Mitaa/Vijiji/Vitongoji kupita bila kupingwa. Imetamka vifungu hivyo ni BATILI vinakwenda kinyume na Katiba.
---
View attachment 2570208View attachment 2570211View attachment 2570217
Tunampelekea ujumbe kwamba tunataka awajibike katika kuwawajibisha watu badala ya kujiweka pembeni na kuagiza watu kwa kuwapa uhuru wa kufanya apendavyo.[emoji23][emoji23]mama yuko kazini
Kura ya ndio au hapana, ukipata nusu ya kura za ndio basi unakuwa mshindi. Kumbuka kinachoangaliwa ni Jamii unayotaka kuiongoza na sio mshindani wako. JAMII UNAYOTAKA KUIONGOZA INAKUHITAJI?Hao nao wivu tu unawasumbuwa kisa tu uchaguzi unakalibia ndio wanaanza kujisemelesha ili iweje kwanza! Hapo jaji kajichanganya
Kwahiyo kama mshindani wangu kajitowa katikati ya kinyanganyilo mimi sipaswi kutangazwa kama mshindi[emoji20] huu utakuwa uonevu sasa
Masikini Ndungai ndio anakwenda kupotea kabisaMahakama Kuu Tanzania imeamuru hakuna wagombea Ubunge, Udiwani wala Wenyeviti wa S/Mitaa/Vijiji/Vitongoji kupita bila kupingwa. Imetamka vifungu hivyo ni BATILI vinakwenda kinyume na Katiba.
---
View attachment 2570208View attachment 2570211View attachment 2570217
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu sheria hizo zimetungwa na Bunge na sifa kuu ya kuwa Mbunge Nchi hii ni kujua Kusoma na Kuandika.
Yaani, Nchi ina vituko hii........
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Subiri majizi ya kijani yakaribie uchaguzi,hiyo sheria ni bure.
Hahaaa!!ndio jamaa aliwaambia wanyonge kuwa hukumu zikiandikwa kwa kiswahili,hawatahitaji wanasheria/mawakili kwenye kusimamia kesi zao!!jamaa lilikuwa lionge lile?!!ina maana UK hakuna mawakili?kwa kuwa hukumu zao ziko kwa kingereza?MUNGU FUNDIMwambae alitakae na kuna jaji aliwahi toa hukumu kwa lugha ya kiswahili!!
Rip Mwamba kwa kuonyesha njia!!
Hiyo kuhusu tiba kua ya kiingereza nimekuachia uulize wewe.Kiingereza ndiyo lugha yetu official ya kwanza. Nsiyo lugha ya kitaalam. Ya pili ni Kiswahili.
Ni sawa tu enzi za wayahudi. Lugha ya kitaalam ilikuwa Kigiriki, lugha ya mawasiliano ya kawaida, Kiebrania.
Mbona hujauliza kwa nini tiba yako hospitalini inaandikwa kwa Kiingereza?
Safi sana bwashee umempa za uso. Anaona kabisa swali liko wazi, yeye bado anauliza swali la kitoto 😂😂Kama huna jibu piga kimya usilete ujuaji wakijinga hapa,
Huoni kua swali langu limeuliza kuhusu lugha?
Nchi zote za africa mashariki zina tatizo hilo, wakenya wakati wa kuomba kura uongea kiswahili lkn wanapokuwa bungeni au vikao vya maendeleo uongea kiingereza, na Uganda hivyohivyo kganda na KiingerezaKama huna jibu piga kimya usilete ujuaji wakijinga hapa,
Huoni kua swali langu limeuliza kuhusu lugha?