Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

Nadhani hukumu inayofanana na hii ilitolewa mwaka jana kwa kutengua hukumu dhidi ya Tigo dhidi ya Mwana FA and AY. Siyo kuwa wahusika hawakuwa na hatia, ila adhabu iliyotolewa na mahakama ya hakimu Mkazi hailingani na uzito wa kosa lenyewe. Vile vile kiwango cha faini ( au fidia in case of FA&AY) kilichitolewa na mahakama ya hakimu mkazi kinazidi uwezo wa mahakama hiyo. Mahakama ya hakimu mkazi haiwezi kutoza faini ya zaidi ya kiwango fulani; kwa hiyo mahakama kuu imetengua adhabu, siyo hukumu.

Kwa Mbowe hii siyo mara ya kwanza. Mwaka 2015 Mahakama kuu ilitengua adhabu nyingine ambapo Mbowe alikuwa ametiwa hatiani na Mahakama ya hakimu Mkazi ya Hai kwa kumshambulia msimamaizi wa uchaguzi mwaka 2010 na akahukumiwa mwaka mmoja jela au faini ya zaidi ya Shs1,000,00; adhabu hiyo Ikatenguliwa na mahakama kuu pia. Kwa hiyo tusichukulie kuwa hili na jambo jipya nchini.
 
Mwendazake atakuwa haamini kweli hii ni Tanzania aliyoiacha, imeamua kuachana na yale yoyote aliyoyapigania bila kujali sheria na katiba.
 
Nadhani hukumu inayofanana na hii ilitolewa mwaka jana kwa kutengua hukumu dhidi ya Tigo dhidi ya Mwana FA and AY. Siyo kuwa wahusika hawakuwa na hatia, ila adhabu iliyotolewa na mahakama ya hakimu Mkazi hailingani na uzito wa kosa lenyewe. Vile vile kiwango cha faini ( au fidia in case of FA&AY) kilichitolewa na mahakama ya hakimu mkazi kinazidi uwezo wa mahakama hiyo. Mahakama ya hakimu mkazi haiwezi kutoza faini ya zaidi ya kiwango fulani; kwa hiyo mahakama kuu imetengua adhabu, siyo hukumu.

Kwa Mbowe hii siyo mara ya kwanza. Mwaka 2015 Mahakama kuu ilitengua adhabu nyingine ambapo Mbowe alikuwa ametiwa hatiani na Mahakama ya hakimu Mkazi ya Hai kwa kumshambulia msimamaizi wa uchaguzi mwaka 2010 na akahukumiwa mwaka mmoja jela au faini ya zaidi ya Shs1,000,00; adhabu hiyo Ikatenguliwa na mahakama kuu pia. Kwa hiyo tusichukulie kuwa hili na jambo jipya nchini.
Mahakama Kuu, imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake 7 na kuamuru warejeshewe fedha walizolipa kama faini, kiasi cha Sh.350 milioni. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Irvin Mgeta.
 
Tuache waislamu waongoze nchi hakuna namna, ukiangalia dikteta, Ndugai, Mwigulu, Makonda, Mnyeti, Kabudi, Ndalichako, Gwajima, Sabaya, Kasesele n.k unaona kabisa sisi wakristo ni watu wa hovyo sn sijui hata makanisani tunafundishwa nini? mbona Bwana wetu Yesu Kristo ni mnyenyekevu sana? kuna la kujifunza asee.
Mkuu Upo sahihi kwenye ‘ukristo’ bandia, ambao ni feki! Tatizo la msingi hatuzingatii mafunzo ya ukristo katika kila eneo la maisha, kama Biblia inavotutaka. Kuna Evangelical Christian Worldview lakini ipo tofauti sana Biblical Christian Worldview. Hao wengi ni Wakristo wa jina tu, Lakini hata hawa wenzetu wana kasoro zao na mambo mengi tu ya kishetani, Kwa hiyo kuna kilicho bora zaidi, third alternative! Mimi na wewe, mkuu! We can be the change we want to see!
 
Peopleeeeeeeeeeessssssss.
Poweeeeeeeeeeeeeeeeeer
Peoples
Power
 
Mahakama Kuu, imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake 7 na kuamuru warejeshewe fedha walizolipa kama faini, kiasi cha Sh.350 milioni. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Irvin Mgeta.
Unaijua hukumu hii pia?
 
Mkuu Upo sahihi kwenye ‘ukristo’ bandia, ambao ni feki! Tatizo la msingi hatuzingatii mafunzo ya ukristo katika kila eneo la maisha, kama Biblia inavotutaka. Kuna Evangelical Christian Worldview lakini ipo tofauti sana Biblical Christian Worldview. Hao wengi ni Wakristo wa jina tu, Lakini hata hawa wenzetu wana kasoro zao na mambo mengi tu ya kishetani, Kwa hiyo kuna kilicho bora zaidi, third alternative! Mimi na wewe, mkuu! We can be the change we want to see!
Mkuu tupambanie katiba mpya angalau itaokoa kidogo
 
Naam wanabodi,

Mnamo mwanzoni mwa Mwaka jana kuliibuka nenola kashfa ambalo ni KRA (Kisutu Revenue Authority) linalosemekana lilikuwa linaulenga mhimili wa 3. Ilikuwa ni kipindi ambacho kesi nyingi zilizopelekwa kwenye ofisi ya mhimili huu pale Kisutu kwa Mheshimiwa mmoja kwa jina la "Mh Simba" .

Ilifika pahala ikaonekana kuwa ni kama ofisi hiyo ilikuwa inatumiwa na Shujaa Mwendazake kama sehemu ya kukusanya fedha au kuwaumiza maadui zake kiuchumi na si kutoa haki.

Naam tumeshuhudia leo Kamanda wa anga na wenzake wakifutiwa makosa na kutakiwa kurejeshewa michango yao waliyolipa kwa control number kipindi hicho takriban 350m.

Leo hii tunaona kuwa kumbe ile ishu bado inawatafuna watu kama kina Kambole, Laikini la kujiuliza hapa ni Je kuzushwa kwa maneno hayo ambayo yanachukuliwa kama Kashfa kwa mhimili wa 3 limetokana na nini hasa?

Je ni vile wanademokrasia/wanaharakati kukosi imani na ofisi hiyo iliyokuwa chini ya Mh Simba?

Je ni wakati wa Mamlaka kuendelea kutafuta mchawi wa sakata hilo au kutibu majeraha yanayoonekana kusababishwa na ofisi hiyo ya pale jiarani na Maktaba?

Nimejaribu kufukunyua Machapisho mengi ya wanaharakati kuhusu Ofisi hiyo kama ilivyo hapo chini:
Chambua:

Mheshimiwa Thomas Simba anastahili kuwa Commissioner General wa KRA (kisutu revenue authority) kama itatungiwa sheria rasmi. Ameifanyia kwa mafanikio

064N:
Aliambia afanye kama mwanaFA Kunta akagoma, wakampeleka kisutu revenue authority

Mkulima wa ndizi:
Kumbe KIsutu Revenue Authority imezalisha zaidi ya Bilioni 73 kwenye ile issue ya uhujumu? Kumbe tunaweza kupata hata bilioni 100 kwa njia hii? Vipi inaweza kuwa official source of income? #MATAGA

Jackson Mnyawami:
Katika kesi hiyo, Wakili Jebra Kambole anatuhumiwa kwa kuidharau mahakama kwa kuchapisha maudhui katika ukurasa wake wa Twita kuwa "Kisutu Revenue Authority (KRA)" kwa tafsiri isiyo rasmi ni "Mamlaka ya Mapato Kisutu"

Mengineyo
-Tuendelee kuchangia hiyo kisutu Revenue Authority (KRA) Tusichokee
-
Meko na Kisutu Revenue Authority yake wote wezi tu
-
Tunajenga standard geji sasa kwa fain za K. R. A(kisutu revenue authority)
-
30 ×4=120 40x4= 160 70x1=70 TOTAL 350M Kisutu Revenue Authority. #KRA
-
Wafanye haraka kufungua account yaani tunaham sana tuchangie fasta tulipe huko Kisutu Revenue Authority
-Mda si mrefu tunakaribia kumalizana na KRA(kisutu revenue authority)jamani tuendelee kuonesha mshikamano wetu dhidi ya watesi wa haki zetu hii ndo nguvu ya umma wao si wana dola

-Meko siunatufanya sisi tunavunja vibubu vyetu na hela umeficha unakojua sisi tumamuachia mungu Tukamue tu maana umeona hupati kodi sasa unatumia kisutu kua njia yakupata pesa.Wapen kesi ingine maana upinzani ushakua mtaji wenu wakuvuna pesa Kisutu revenue authority

-
Muheshimiwa @MayorUbungo unatukosea watanzania Hawa hawajahukumiwa bali wamedhulumiwa uhuru na haki zao Mahakama ndiyo inayotoa hukumu na sio pale Kisutu Revenue Authority KRA.

Mimi nadhani ipo haja ya Mhimili wa tatu kujisafisha pale ofisi ya Kisutu, otherwise tuache kazi iendelee.
 
Kuna wapuuzi wengi sana humu mitandaoni wanaosema Mama hana anachokifanya.

Tunaendelea kusisitiza kuwa Mama aachwe afanye kazi na neema zitapatikana kwa kila mmoja wetu
 
Back
Top Bottom