Mahakama Kuu yafuta mashtaka 14 kati ya 25 ya Masheikh wa Uamusho

Bismillahir Rahmaanir Rahiim ndio nini??

Hii habari umewaletea waarabu au watanzania tuñaoongea kiswahili.

Heri ungetumia maneno ambayo kila moja anayajua
Akili yako imeishia hapo kufikiri?
Qui veut noyer son Chien l'accuse de la rage.
Quelle folie!
 

😂😂 Wewe kweli chizi, eti mtu asome korani bila tafsiri, yani asielewe anachosoma, Sasa hiki ni kitu gani kama sio ukasuku huu?

Kumbuka mwenyezi Mungu alituumba kwa mfano wake, sio kwamba katuumba tufanane nae macho, kisogo, vidole, mdomo, rangi, n.k LA Hasha!! Mwenyezi Mungu katuumba tufanane nae kwa roho kama yake, Yani sisi binadamu tuna kitu cha ziada ukiachana na mwili, damu na mifupa kama viumbe wengine, sisi tumepewa zawadi ya kufanya maamuzi, kujua baya na zuri, Kuongea lugha tofauti na kuzitafsiri, kuvumbua vitu, n.k. Kwa hio sisi ni viumbe tuliopendelewa sana, Mwenyezi Mungu katuumba tuwepo kwajili yake, Katuumba bila mawazo ya Mwengine, Katuumba bila kuazima udongo wala kifaa chochote kwa mwengine, Anataka tuwe karibu yake kwa kujenga mahusiano nae sio kwa lugha bali kwa kumwelewa kupitia maandiko yake kwa kile anachotaka tufanye.

Sasa hivi kweli Mwenyezi Mungu kashusha ujumbe ili tuusome kama makasuku?? Hapana.

Kusoma korani ni safari ya mwanzo kabisa katika kumjua Mwenyezi Mungu, yani naweza kusema kama mtu katoka Mbeya kwenda dar, basi uzito wa Korani ni kufika Makambako (katikati ya Mbeya na Iringa), Mtu anaweza akawa anakichapa kiarabu kisawasawa na hata mistari mingi tu ya korani anaitema kutoka kichwani tena kwa kiarabu, Lakini kama huyu mtu hatekelezi ama kujua maana yake halisi ya hicho akisomacho ni sawa na bure tu.

Hata lugha iwe ngumu vp au pana vp, maana ya maneno huwa inatafsirika tu labda kutakuwa tu na ugumu wa kupata neno moja linalojitosheleza kwa lugha nyingine lakini maana itaeleweka tu hata kwa kuwekea maneno mengi ili kupata tafsiri.

Waarabu wajanja sana hao, wamegeuza lugha yao kuwa fimbo, Hili ndio tatizo la binadamu yani.
 
Acha wewe kuongea kiebrania kama unaona ni utumwa...mwenzako akiongea kiaraabu usiumie hayo ni maamuzi yake kwani hajavunja sheria yeyote.
 
Kwa comment hii, inonyesha jinsi waarabu walivyofanikiwa kwa kiasi kikubwa kuteka akili za wanadamu wengi duniani, kwamba msipomwomba Mungu kwa lugha yetu sisi hamtasikilizwa.
 
Wewe ndio mwehu,kwa sababu hujanielewa nilichoandika....nakukumbusha tu niliandika kuwa ...qur an isomwe kwanza kwa kiarabu,halafu ndio isomwe kwa tafsiri ya lugha ya msomaji...hakuna qur an itakayosomwa kama unavyotaka wewe mpaka mwisho wa dunia'itasomwa hivyo hivyo.Na uelewe mimi sipingi tafsiri kusomwa .....hutakiwi kusoma qur an kama wimbo bali uelewe unachokisoma,usijidanganye eti qur an inasomwa kwa kiarabu kwa hamasa au ujanja wa waarabu hakuna kitu kama hicho.
Mtoto anapopelekwa madrasa kuisoma qur an,lazima aanze kuisoma kama ilivyo kwa kiarabu kisha atasoma tafsiri ili aelewe anachokisoma usitake kuwapangia watu unavyotaka wewe punguzeni chuki...mtu akiandika BISMILLAH RAHMAN RAHIIM..wewe kinakukereketa ni kinini? Tulia haya huyawezi waachie wahusika.
 
Aliyekuwa mkuu wa nchi, akatoa maelekezo na kuridhia kuwasweka mahabusu bado yupo!
Acha uongo, maelekezo na kuwekwa kwao ndani ilikuwa amri ya raisi wa awamu ya nne (4) na siyo awamu ya tano (5).
 
Kwa comment hii, inonyesha jinsi waarabu walivyofanikiwa kwa kiasi kikubwa kuteka akili za wanadamu wengi duniani, kwamba msipomwomba Mungu kwa lugha yetu sisi hamtasikilizwa.
Naam,umia mpaka upasuke.
ALLAHU AKBAR JALLAJALLAL.
 
Hayo ya lugha achaneni nayo. Hayo ni mambo ya mpito, kuna siku au muda hayo yatabadilika na Quran itasomwa hata kwa Kidengereko. Wakristu nao, si mBiblia na misa zikisomwa, kilatini, kiebrania, leo mhii zzinasomwa Kiswahili. Mungu hana lugha kwa hiyo hakuna mahali iliagizwa vitabu vitakatifu visomwe kwa lugha fulani.
 

Qur an sio biblia mzee haitaweza kutokea milele na milele.
 
Tusiongee sana, Twende straight kwenye maandiko, Tetea hicho kitu ulichoandika, ni wapi kwenye korani wameandika hivyo vitu maama isije ikawa watu mnafanya hivi vitu kwa mazoea. Leta maandiko.
 
Nadhani hao mashehe wa uamsho wamejifunza mengi kwa kukaa rumande hata wakiachiwa huru leo hatutasikia tena watu wakipigwa risasi na kuuawa ovyo ovyo kama wakati ule walipoanzisha uamsho wao
Kwani wao ndio walupiga watu risasi,Kama una ushahidi peleka uisaidie serikali ndugu.
 
Kesi na kushikiliwa kws masheikh wa uamsho kunafikirisha sana (iwe Wana hatia au hawana). Iweje baada ya hao masheikh kukamatwa na kuhamishiwa Bara, Zanzibar kumekuwa shwari, yale mashambulio ya tindikali na risasi kwa wageni yamekoma kabisa.

Vv
Peleka ushahidi wa wao kuhusika,usifiche
 
Tusiongee sana, Twende straight kwenye maandiko, Tetea hicho kitu ulichoandika, ni wapi kwenye korani wameandika hivyo vitu maama isije ikawa watu mnafanya hivi vitu kwa mazoea. Leta maandiko.
Weka kwanza andiko la kupinga halafu ndio uwekewe.
 
Tusiongee sana, Twende straight kwenye maandiko, Tetea hicho kitu ulichoandika, ni wapi kwenye korani wameandika hivyo vitu maama isije ikawa watu mnafanya hivi vitu kwa mazoea. Leta maandiko.
بَشِيرًا وَنَذِيرًا {4}
“Ni Kitabu kilichopambanuliwa Aya zake, cha kusomwa kwa kiarabu kwa watu wanaojua, kinachotoa bishara na kuonya” (41:3 – 4).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…