Mahakama Kuu yamhukumu Grace Mushi kunyongwa hadi kufa kwa kumchoma mpenzi wake ndani ya nyumba mpaka kufa

Sio kwel machame oeni , mama yangu ni mmachame ila mbona yupo cool tu wala hana izo mishe kabisa?
Basi kabarikiwa kaka tuseme Mashaallah.
Ila niliwahi kaa Makabe kwa Ankal wangu majirani hapo takriban wanne wameoa wamachame na mke wa marehem ankal mmachame,daily kilikua kinawaka nyumba zoteee!!
Hakuna nyumba ilikua salama kati ya hizo za wake wa kimachame.
 
Hizo mambo ni tabia za mtu binafsi tu , wamachame wengi tu wala hawana Shida .
 
Back
Top Bottom