Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Ilete hiyo sehemu serikali waliposema hivyoSerikali inasema ukishakaa na mwanamke ,pika nipakue ,mwenzi mmoja tu nakuendelea ,tayari hiyo ni ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilete hiyo sehemu serikali waliposema hivyoSerikali inasema ukishakaa na mwanamke ,pika nipakue ,mwenzi mmoja tu nakuendelea ,tayari hiyo ni ndoa
HahahahahaZungu alikuwa mariooo,grace anamlea
Dem alizama kwa jamaa
Jamaa mambo ya mterezo gandalf
La ndizi ilimponza
Ova
Hahahahaha...kumbe kafungwa hewa ? Ina maana wakati hii hukumu inatoka G hakuwepo mahakamani ?Grace alishatoka kitambo tu ila alipotea mtaani kabisa,wale wasiojua waendelee kubakia hapo na mawazo hayo kuwa G yupo ndani[emoji848]
Unapigaje mswaki? Sema hujasafisha kinywa.Khaaaa! Sasa mbona nyundo asubuhi hivi kabla hata watu hatujapiga mswaki?
Kwamba hukumu hii imetoka Grace akiwa huru mtaani, mambo huwa sio mepesi hivyo.Grace alishatoka kitambo tu ila alipotea mtaani kabisa,wale wasiojua waendelee kubakia hapo na mawazo hayo kuwa G yupo ndani[emoji848]
Asie amini ni nani apo sasa?Grace Mushi na Abdallah Sekamba, ndiyo maana biblia inasema msifungiwe nira na asiyeamini
Sio kwel , wamachame wala hawana shida hizo tabia za mtu binafsi tu.Masikini wanafungwa fresh tu ila wenye pesa aaaaaah.... wanapeta kitaa
Wakaka mnaonaje mkaja na kataa kuoa mchaga kataa machame [emoji1787][emoji1787]
Basi kabarikiwa kaka tuseme Mashaallah.Sio kwel machame oeni , mama yangu ni mmachame ila mbona yupo cool tu wala hana izo mishe kabisa?
Hizo mambo ni tabia za mtu binafsi tu , wamachame wengi tu wala hawana Shida .Basi kabarikiwa kaka tuseme Mashaallah.
Ila niliwahi kaa Makabe kwa Ankal wangu majirani hapo takriban wanne wameoa wamachame na mke wa marehem ankal mmachame,daily kilikua kinawaka nyumba zoteee!!
Hakuna nyumba ilikua salama kati ya hizo za wake wa kimachame.
Si unaona komwe hyo babaa...Ni mushi wa masama kule machame?😳 au mushi wa wapi..
Sio kwel , wamachame wala hawana shida hizo tabia za mtu binafsi tu.