MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Una uwezo mdogo sanaHuyo mzanzibari asiyeutaka muungano anawashwa nini na tff ya bara? Wao si wana zfa yao huko? Yani anataka kusababisha sie Biashara united mara tusiende kucheza caf confederation cup kwa mara ya kwanza kwa sababu nchi inaweza kufungiwa na fifa, maza fvcker! [emoji109]
Jibu swali kwanza. Usikimbilie kwenye kichaka cha matusi na maneno ya kejeli!Acha upuuzi wewe. Usilete utoto kwenye jambo la akili. Kama hujui mambo ya mpira kaa kimya
Kama magu zaidi ya miaka 30 huwaga yeye anapitaga tu bila kupingwaKaria Usipoangalia utakaria Moto...Mtaka Yote hukosa yote..Hivi nchi ina watu mil 60 wewe tu una vigezo kuwa Rais TFF???
HATA Mseveni Huweka Watu wakampinga halafu anajitangaza kashinda....
Waziri akitia neno hapo ndo serekali itaonekana inaingilia mambo ya mpiraUyo karia msomali ni mpuuzi sana aenguliwe na yeye au apewe kesi ya rushwa
Waziri wa michezo amepwayaa hafai kabisa kuwepo katika hiyo wizara pamoja na BMT
Sio tu rushwa swala la Al Saleh ana haki kwenda mahakamani, sababu mahakama ya Tanzania ndo inamamlaka ya kutafsiri kwamba yeye ni mnzanzibar ana haki ya kugombania au la, na sio mahakama ya uswisiHao ni masuala ya Rushwa.
Mbona CCM hamupendi demokrasiaHi nchi Ina mawenge unafki mengi..kila kukicha tunaletewa Jambo jipya SI ushamba huu?
Unaona alichofanya karia ni sawa?Huyo mzanzibari asiyeutaka muungano anawashwa nini na tff ya bara? Wao si wana zfa yao huko? Yani anataka kusababisha sie Biashara united mara tusiende kucheza caf confederation cup kwa mara ya kwanza kwa sababu nchi inaweza kufungiwa na fifa, maza fvcker! [emoji109]
Uko mjinga SanaHuyu alisale amekaa kiuamshoamsho sii mtu mzuri nadhani alishiriki kwenye ile katiba ya 2010 iliyokuja na vifungu tata kuhusu muungano
Jamaa angebaki kama miaka 20 kama Rais angetengeneza legacy mbaya sana ni Bora ayupo tena kwenye uongoziKama magu zaidi ya miaka 30 huwaga yeye anapitaga tu bila kupingwa
Na wewe karia msomali nenda uko somalia kagombee kwa al shabaab wenzakoYaani wewe mzanzibari uje huku Bara unataka Uenyekiti TFF?. Mbona usiende kugombea huko ZFA, nyie wa Zanzibar mnaweza kuruhusu mbara agombee kwenu?.Ikitokea Fifa wamatufungia kwa mgogoro huu uliouanzisha, jua patachimbika.
TFF inawahusu sana tuu. T stands for Tanzania, not Tanganyika kama ilivyo TLSHuyu Mzanzibari mbona anataka kutuharibia, wao si wana chama chao na uchaguzi umefanyika juzi tu?
Anawasaidia maana nyie mambumbumbu sana na mmeona ni sawa tu Karia na genge lake kuendeleza umafia pale unchallenged.Kumbe Mzanzibar ndo kashitaki?
Huhuhu tumemkosea nini?
Kule Zanzibar Kuna Wajumbe kutoka ZFA wanaopiga Kura Kwenye Uchaguzi Wa Rais Wa Tff?
- mgao wa fedha wa FIFA: TFF inasimama kama shirikisho laTanzania
- michuano ya FIFA kwa taifa: TFF inasimama kama Tanzania
- michuano ya CAF kwa taifa: TFF inasimama kama Tanzania
- michuano ya CAF kwa vilabu: TFF inakuwa Tanganyika
- uchaguzi wa uraisi wa TFF: mgombea sharti awe mtanzania lakini kura zinapigwa na watanganyika kama nitakuwa sahihi, mzanzibar hawezi kuwa mgombea (sijawa na uthibitisho nalo)
- ...................................
hawawezi kuwepo kwa sababu ZFA inasimamia soka la zanzibar na si muunganoKule Zanzibar Kuna Wajumbe kutoka ZFA wanaopiga Kura Kwenye Uchaguzi Wa Rais Wa Tff?
Sasa Wao Ni Kipi Kinachowaunganisha Na Tff Kama Shirikisho la Mpira Tanzania? Zfa Sio Sehemu Ya Tff??hawawezi kuwepo kwa sababu ZFA inasimamia soka la zanzibar na si muungano
kiunganishi chao kikubwa ni Taifa.Sasa Wao Ni Kipi Kinachowaunganisha Na Tff Kama Shirikisho la Mpira Tanzania? Zfa Sio Sehemu Ya Tff??
Sasa Kama Ni Taifa Ushiriki wao Ni upi Sasakiunganishi chao kikubwa ni Taifa.