Mahakama Kuu yasitisha uchaguzi mkuu TFF, Wallace Karia aitwa Mahakamani

Mahakama Kuu yasitisha uchaguzi mkuu TFF, Wallace Karia aitwa Mahakamani

Huyo mzanzibari asiyeutaka muungano anawashwa nini na tff ya bara? Wao si wana zfa yao huko? Yani anataka kusababisha sie Biashara united mara tusiende kucheza caf confederation cup kwa mara ya kwanza kwa sababu nchi inaweza kufungiwa na fifa, maza fvcker! [emoji109]
Una uwezo mdogo sana
 
Acha upuuzi wewe. Usilete utoto kwenye jambo la akili. Kama hujui mambo ya mpira kaa kimya
Jibu swali kwanza. Usikimbilie kwenye kichaka cha matusi na maneno ya kejeli!

Ni bora hilo Shirikisho liendelee kuongozwa na huyo Masomali wenu anayewapoza kwa hela za rushwa, au bora huyo Mzanzibari Ally Saleh?
 
Karia Usipoangalia utakaria Moto...Mtaka Yote hukosa yote..Hivi nchi ina watu mil 60 wewe tu una vigezo kuwa Rais TFF???

HATA Mseveni Huweka Watu wakampinga halafu anajitangaza kashinda....
Kama magu zaidi ya miaka 30 huwaga yeye anapitaga tu bila kupingwa
 
Uyo karia msomali ni mpuuzi sana aenguliwe na yeye au apewe kesi ya rushwa

Waziri wa michezo amepwayaa hafai kabisa kuwepo katika hiyo wizara pamoja na BMT
Waziri akitia neno hapo ndo serekali itaonekana inaingilia mambo ya mpira
 
Hao ni masuala ya Rushwa.
Sio tu rushwa swala la Al Saleh ana haki kwenda mahakamani, sababu mahakama ya Tanzania ndo inamamlaka ya kutafsiri kwamba yeye ni mnzanzibar ana haki ya kugombania au la, na sio mahakama ya uswisi
 
Huyo mzanzibari asiyeutaka muungano anawashwa nini na tff ya bara? Wao si wana zfa yao huko? Yani anataka kusababisha sie Biashara united mara tusiende kucheza caf confederation cup kwa mara ya kwanza kwa sababu nchi inaweza kufungiwa na fifa, maza fvcker! [emoji109]
Unaona alichofanya karia ni sawa?
 
naomba niulize swali hivi massawe au lyimo anaweza kugombea urais wa chama cha soka zanzibar?
 
Yaani wewe mzanzibari uje huku Bara unataka Uenyekiti TFF?. Mbona usiende kugombea huko ZFA, nyie wa Zanzibar mnaweza kuruhusu mbara agombee kwenu?.Ikitokea Fifa wamatufungia kwa mgogoro huu uliouanzisha, jua patachimbika.
Na wewe karia msomali nenda uko somalia kagombee kwa al shabaab wenzako
 
  1. mgao wa fedha wa FIFA: TFF inasimama kama shirikisho laTanzania
  2. michuano ya FIFA kwa taifa: TFF inasimama kama Tanzania
  3. michuano ya CAF kwa taifa: TFF inasimama kama Tanzania
  4. michuano ya CAF kwa vilabu: TFF inakuwa Tanganyika
  5. uchaguzi wa uraisi wa TFF: mgombea sharti awe mtanzania lakini kura zinapigwa na watanganyika kama nitakuwa sahihi
  6. ...................................
 
  1. mgao wa fedha wa FIFA: TFF inasimama kama shirikisho laTanzania
  2. michuano ya FIFA kwa taifa: TFF inasimama kama Tanzania
  3. michuano ya CAF kwa taifa: TFF inasimama kama Tanzania
  4. michuano ya CAF kwa vilabu: TFF inakuwa Tanganyika
  5. uchaguzi wa uraisi wa TFF: mgombea sharti awe mtanzania lakini kura zinapigwa na watanganyika kama nitakuwa sahihi, mzanzibar hawezi kuwa mgombea (sijawa na uthibitisho nalo)
  6. ...................................
Kule Zanzibar Kuna Wajumbe kutoka ZFA wanaopiga Kura Kwenye Uchaguzi Wa Rais Wa Tff?
 
Back
Top Bottom