Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

Nashngaa sana, Musiba amekulia dini/dhehebu la WASABATO, Wasabato wanasoma sana agano la kale kuliko agano jipya; kupitia nabii Yeremia Biblia inasema, "Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu na moyoni mwake amemuacha Mungu" Ina maana bwana Cyprian alikua analielewaje neno hili???
 
Akishindwa kulipa inakuwaje? Atafungwa?
Pacha, Cyprian Musiba akishindwa kulipa hio hela yatapelekwa maombi mahakamani ya;

1) kukamata mali zote za Gazeti na za kwake binafsi ziuzwe ili alipwe Fatma Karume.

2) Kufungiwa account zake na za Gazetti zote za bank, pesa zilizomo kulipwa kwa Fatma Karume.

Deni lisipowezekana kulipwa kabisa kutokana na mali kutofikia kiasi anacho daiwa, basi maombi ya kumfunga yanaweza kufanywa mahakamani (Civil Jail Term, sio Criminal Jail) na kama maombi yatakubaliwa na mahakama basi itapigwa hesabu ya deni na kifungo atakachotakiwa kufungwa kwa gharama za Fatma Karume (Yani Fatma Karume atakua akimhudumia lishe yake Cyprian Musiba kwa kipindi chote atakachofungwa).

In short, Cyprian Musiba safari hii anaweza akatolewa marinda.
 
Ameshinda case ya defamation au ameshinda case ya madai baada ya kushinda case ya defamation? Je, mahakama za Zenji zina mamlaka gani kwa huku bara ? Wanaweza kukazia hukumu huku bara au mamlaka yake yanaushia huko visiwani.
Hata Ingekuwa mbinguni msiba bila jiwe ni sawa na andazi tu
 
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Wakili msomi, Fatma Karume aka Shangazi, ameandika hivi;

Hamjambo? Mnaomjua Cyprian Musiba mwambieni Mahakama Kuu ya Zanzibar, ndio pale VUGA, yametoa HUKUMU leo. Yamesema ni yeye na GAZETI lake wameandika UONGO dhidi yangu.
Sasa anatafute 7.5 billion za kunilipa!. Namshukuru sana Advocate Wangu!.

Billion 7.5 ilihali sponsor ameshakufa na kwa upande mwingine biashara zake zimemuendea kombo hadi kushindwa kuwalipa Wafanyakazi mbona atajua hajui!.

Watu wa karibu wa Musiba mnaweza kumpa hizi habari maana ni kitambo hatujamuona huko Twitter republican huyo aliyekuwa "Mwanaharakati huru" wa kumtetea hayati Magufuli.
Afungwe tu, bado Membe naye anamdai
 
Labda aione ustaadh Habib!
 
Back
Top Bottom