Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Anafilisiwa mali zake zoteAkishindwa kulipa inakuwaje? Atafungwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafilisiwa mali zake zoteAkishindwa kulipa inakuwaje? Atafungwa?
Akishindwa kulipa itakuwaje?Kupitia ukurasa wake wa Twitter Wakili msomi, Fatma Karume aka Shangazi, ameandika hivi;
Hamjambo? Mnaomjua Cyprian Musiba mwambieni Mahakama Kuu ya Zanzibar, ndio pale VUGA, yametoa HUKUMU leo. Yamesema ni yeye na GAZETI lake wameandika UONGO dhidi yangu.
Sasa anatafute 7.5 billion za kunilipa!. Namshukuru sana Advocate Wangu!.
Billion 7.5 ilihali sponsor ameshakufa na kwa upande mwingine biashara zake zimemuendea kombo hadi kushindwa kuwalipa Wafanyakazi mbona atajua hajui!.
Watu wa karibu wa Musiba mnaweza kumpa hizi habari maana ni kitambo hatujamuona huko Twitter republican huyo aliyekuwa "Mwanaharakati huru" wa kumtetea hayati Magufuli.
Imeandikwa amelaaniwa amtegemeaye mwanadamuBillion 7.5 ilihali sponsor ameshakufa na kwa upande mwingine biashara zake zimemuendea kombo hadi kushindwa kuwalipa Wafanyakazi mbona atajua hajui!.
Itabidi afungweAkishindwa kulipa itakuwaje?
Au itamfanya awe house boy wako miaka yake yote ya uhai??
Alizidisha ujinga hicho tumuache avune aricyokipandaAnafilisika soon huyu mutuView attachment 1888210
Ngoja wamyooshe aliyemtetea kasepaAlizidisha ujinga hicho tumuache avune aricyokipanda
Wazo zuriSi waowane tu..[emoji1787]
HujaelewekaMaajabu tanzania bara eti imeanza kuchezewa na Hawa kina yahe wa visiwani
Nashauri Musiba amuoe huyo dada