Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Ile ni faini sio deni😅Deni alifungi mtu ataahid kulipa kidogo kidogo labda kwa mwezi buku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile ni faini sio deni😅Deni alifungi mtu ataahid kulipa kidogo kidogo labda kwa mwezi buku
Iliyoatoa hukumu sio mahakama kuu ya Tanzania Ni ya Nchi ya ZanzibarKwani TZ maana yake nini?
Afungue msba kama hakutendewa haki...Ina jurisdiction Tz Bara? Kwanini hakufungua Bara?
Yeye si mzanZibar Kuna shida kwaniIna jurisdiction Tz Bara? Kwanini hakufungua Bara?
Hiyo kesi hatakiwi hata kuhangaika nayo Musiba atulie tu
[emoji849][emoji849][emoji849]Deni alifungi mtu ataahid kulipa kidogo kidogo labda kwa mwezi buku
Usiongee vitu usivyokuwa na uhakika navyo, au usivyovifahamu (matters that you are unsure of, or matters that you are not knowledgeable about).Hiyo kesi hatakiwi hata kuhangaika nayo Musiba atulie tu
Ni sawa tu na kuandikwa vibaya na gazeti la the Economist la Nchi ya marekani halafu unaenda mahakama ya kisutu kudai mumiliki akulipe fidia aliyeko Nchi ya Marekani wakati sio raia wa Nchi yako.Mahakama Local uwezo huo hawana .Ndio maana serikali iliishia tu kusema marufuku Hilo gazeti kukanyaga Nchi yetu
Hiyo kesi ya Musiba mahakama ya kuu ya Nchi huru ya Zanzibar kufuatana na katiba yao hawana ubavu huo.
Fatma Karume apeleke hiyo kesi mahakama ya kimataifa sio Vuga Zanzibar!!!
Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.Muda umefika wa Cyprian Musiba na ule mdomo aliokua akichongoa kushonwa na sindano.
Je wakimfunga fatma atakua amefaidika na nini?Pacha, Cyprian Musiba akishindwa kulipa hio hela yatapelekwa maombi mahakamani ya;
1) kukamata mali zote za Gazeti na za kwake binafsi ziuzwe ili alipwe Fatma Karume.
2) Kufungiwa account zake zote za bank.
Deni lisipowezekana kulipwa kabisa kutokana na mali kutofikia kiasi anacho daiwa, basi maombi ya kumfunga yanaweza kufanywa mahakamani (Civil Jail Term, sio Criminal Jail) na kama maombi yatakubaliwa na mahakama basi itapigwa hesabu ya deni na kifungo atakachotakiwa kufungwa kwa gharama za Fatma Karume (Yani Fatma Karume atakua akimhudumia lishe yake Cyprian Musiba kwa kipindi chote atakachofungwa).
In short, Cyprian Musiba safari hii anaweza akatolewa marinda.
Mahakama kuu na Rufani ni jambo la muungano unaweza kufungulia popoteIna jurisdiction Tz Bara? Kwanini hakufungua Bara?
Ina jurisdiction Tz Bara? Kwanini hakufungua Bara?
Kwa hiyo ukifanya uhalifu Tanganyika ukakimbilia Zanzibar utakuwa umekwepa hukumu?Hiyo kesi hatakiwi hata kuhangaika nayo Musiba atulie tu
Ni sawa tu na kuandikwa vibaya na gazeti la the Economist la Nchi ya marekani halafu unaenda mahakama ya kisutu kudai mumiliki akulipe fidia aliyeko Nchi ya Marekani wakati sio raia wa Nchi yako.Mahakama Local uwezo huo hawana .Ndio maana serikali iliishia tu kusema marufuku Hilo gazeti kukanyaga Nchi yetu
Hiyo kesi ya Musiba mahakama ya kuu ya Nchi huru ya Zanzibar kufuatana na katiba yao hawana ubavu huo.
Fatma Karume apeleke hiyo kesi mahakama ya kimataifa sio Vuga Zanzibar!!!
Musiba alimdhalilisha Fatma, hivyo akifungwa atakuwa amepata adhabu stahiki na kukomesha tabia yake mbaya!Je wakimfunga fatma atakua amefaidika na nini?