Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

Pacha, Cyprian Musiba akishindwa kulipa hio hela yatapelekwa maombi mahakamani ya kukamata mali zote za Gazeti na za kwake binafsi ziuzwe ili alipwe Fatma Karume.

Deni lisipowezekana kulipwa kabisa kutokana na mali kutofikia kiasi anacho daiwa, basi maombi ya kumfunga yanaweza kufanywa mahakamani (Civil Jail Term, sio Criminal Jail) na kama maombi yatakubaliwa na mahakama basi itapigwa hesabu ya deni na kifungo atakachotakiwa kufungwa kwa gharama za Fatma Karume (Yani Fatma Karume atakua akimhudumia lishe yake Cyprian Musiba kwa kipindi chote atakachofungwa).
Ikifikia fatma kutoa mchango wa kumhudumia lishe mnistue kuna hela haina kazi ntaitoa
 
Kwani Musiba Ni raia wa Nchi ya Zanzibar? Ninachojua ukitaka ku practice uwakili Zanzibar lazima usajiliwe upya kwao

Hiyo kesi wakaisajili mahakamani ya kimataifa kunenforce sababu Zanzibar Ni nchi kamili kwa mujibu was katiba ya Zanzibar.

Musiba si raia wa Nchi ya Zanzibar na Hana mpango wa kuomba uraia Zanzibar
Hiyo hukumu hopeless
Imeamriwa na mahakamu kuu ya Nchi huru ya Zanzibar

Kwa mujibu wa katiba yao Zanzibar Ni nchi kamili

Hiyo kesi walitakiwa Wapeleke mahakama ya kimataifa sababu wao Ni nchi kamili na Musiba sio raia wao na kosa hakulifanya akiwa Zanzibar sababu so raia na Hana mpango wa kuomba uraia Wala kwenda Zanzibar iwe kuoa mtoto au mjukuu wa karume au kutalii
Ndoto zingine ni upuuzi mtupu
 
Pacha, Cyprian Musiba akishindwa kulipa hio hela yatapelekwa maombi mahakamani ya kukamata mali zote za Gazeti na za kwake binafsi ziuzwe ili alipwe Fatma Karume.

Deni lisipowezekana kulipwa kabisa kutokana na mali kutofikia kiasi anacho daiwa, basi maombi ya kumfunga yanaweza kufanywa mahakamani (Civil Jail Term, sio Criminal Jail) na kama maombi yatakubaliwa na mahakama basi itapigwa hesabu ya deni na kifungo atakachotakiwa kufungwa kwa gharama za Fatma Karume (Yani Fatma Karume atakua akimhudumia lishe yake Cyprian Musiba kwa kipindi chote atakachofungwa).
Hahaha nadhani shangazi achukue tu zote zitakazopatikana nyingine asamehe.
 
Duh! Billioni 7.5 atazipatia wapi jameni?!
Mtoto wa Karume uwe na roho ya kusamehe, inatosha!.
afadhali ungemdai fidia ya sh.1!! na kisha aombe radhi hadharani kama alivyo fanya Msigwa alipo shitakiwa na Kinana.
 
Hivi shauri likoje mtu yupo bara na hukumu imetoka Zanzibar? Au kama masheikh wa uamsho tuu?
 
Kwani Musiba Ni raia wa Nchi ya Zanzibar? Ninachojua ukitaka ku practice uwakili Zanzibar lazima usajiliwe upya kwao

Hiyo kesi wakaisajili mahakamani ya kimataifa kunenforce sababu Zanzibar Ni nchi kamili kwa mujibu was katiba ya Zanzibar.

Musiba si raia wa Nchi ya Zanzibar na Hana mpango wa kuomba uraia Zanzibar
Hapa duniani kuna nchi inaitwa Zanzibar?
 
Musiba Cyprian.. alijua Sponsor ni zaidi ya Mungu. Sponsor alishachomoka labda wapige mnada mali zake maana Mtumwa alifanya kazi yake Kwa Boss..
 
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Wakili msomi, Fatma Karume aka Shangazi, ameandika hivi;

Hamjambo? Mnaomjua Cyprian Musiba mwambieni Mahakama Kuu ya Zanzibar, ndio pale VUGA, yametoa HUKUMU leo. Yamesema ni yeye na GAZETI lake wameandika UONGO dhidi yangu.
Sasa anatafute 7.5 billion za kunilipa!. Namshukuru sana Advocate Wangu!.

Billion 7.5 ilihali sponsor ameshakufa na kwa upande mwingine biashara zake zimemuendea kombo hadi kushindwa kuwalipa Wafanyakazi mbona atajua hajui!.

Watu wa karibu wa Musiba mnaweza kumpa hizi habari maana ni kitambo hatujamuona huko Twitter republican huyo aliyekuwa "Mwanaharakati huru" wa kumtetea hayati Magufuli.
Kujidai wakati mwingine noouma,
 
Back
Top Bottom