Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

Mahakama Kuu Zanzibar yaamuru Cryprian Musiba kumlipa Fatma Karume Tzs 7.5 bilioni

Veronica france amepoteza UHURU wake hivyo hawezi kuwa UHURU baada ya sponsa kufa
 
Jamani eeh!
tusisahau kuchukua tahadhari korona inapupitisha hatari!!
haswa kwa wenye maradhi sugu kama vile;
1. KISUKARI, PRESHA, UKIMWI, TB. ni hatari sana.
 
you can question abt the jurisdiction but its hard to escape liability..if all elements of defamation exist
 
Kwani Masheikh wa Zanzibar kesi yao ilikuwa Mahakama za wapi?
Bahati mbaya swali hili halijibu swali langu, Bado ninataka kujua namna sheria zinaingiliana kati ya pande mbili hizi. Je, kuna aina ya makosa ama inakuwaje?
 
Hiyo ni Mahakama kuu ya Tanzania...iko moja nchi nzima bara na visiwani ila ina divisheni na registry nchini kote. Hivyo Mahakama kuu inayoketi Zanzibar ina hadhi sawa na Mahakama kuu inayoketi Bara.
Asante sana kwa ufafanuzi ndugu.
 
Lkn kumbuka Zanzibar ni nchi.Katiba yake inajifunga yenyewe..
Uamsho nguvu nyingi ilitumika kuliko sheria..
Mf=Bara wafungwa uwamishwa magereza tofauti lkn hawapekwi Zanzibar. Na hivyo kwa upande Zanzibar.
Hata kosa na hukumu bara na visiwani tofauti..
Ndio maana nikasema, kama kosa limefanywa na Mtanzania huku Tanzania au mfano Kenya au nchi nyingine yeyote ile, hukumu ikatolewa na nchi hizo na mshtakiwa akiwa Tanzania basi wadai wataisajili katika mahakama za Tanzania ili iweze kuwa enforced ( kama hii ni kesi ya kibiashara) kinyume na hapo kuna extradition , pia wanaweza kumpata Musiba kwa style hiyo, hivyo jambo la kwamba maamuzi ya mahakama za Zanzibar hazina nguvu huku bara, hilo halipo... ni jambo la enforcement tu na attachment of earnings order toka bara au Zanzibar - kwenda kwa Musiba ili kulipa deni kwa amri ya mahakama toka Zanzibar / Bara (nchi) ambapo hukumu yake imesajiliwa bara pia Zanzibar... mfano ni ile kesi ya madai ya mkulima wa south africa na ndege zetu... kesi za madai haziishi na interest zitaendelea kuongezeka tu siku hadi siku.. Dawa ya Deni ni kulipa hadi kulimaliza au mpaka kifo
 
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Wakili msomi, Fatma Karume aka Shangazi, ameandika hivi;

Hamjambo? Mnaomjua Cyprian Musiba mwambieni Mahakama Kuu ya Zanzibar, ndio pale VUGA, yametoa HUKUMU leo. Yamesema ni yeye na GAZETI lake wameandika UONGO dhidi yangu.
Sasa anatafute 7.5 billion za kunilipa!. Namshukuru sana Advocate Wangu!.


Billion 7.5 ilihali sponsor ameshakufa na kwa upande mwingine biashara zake zimemuendea kombo hadi kushindwa kuwalipa Wafanyakazi mbona atajua hajui!.

Watu wa karibu wa Musiba mnaweza kumpa hizi habari maana ni kitambo hatujamuona huko Twitter republican huyo aliyekuwa "Mwanaharakati huru" wa kumtetea hayati Magufuli.
Musiba atakojoa dagaa
 
Musiba amlipe tuu
Kwani si kidogokidogo hadi deni liishe[emoji41][emoji41]
Maana Hata wakiuza mali zake hana hiyo pesa
Mama D na wewe leo haupo upande wa huyo mwana ccm mwenzako? Au msaidieni kuchangisha kwenye magrupu yenu
 
Mama D na wewe leo haupo upande wa huyo mwana ccm mwenzako? Au msaidieni kuchangisha kwenye magrupu yenu

Sijawahi kuwa upande wa yeyote anayethibitika kudhalilisha wengine

Halafu Mimi ni mtanzania lakini sio mwana CCM ila nina imani kwa serikali yangu
 
Musiba alishawasema kuhusu Phd za Unafiki na Unoko za WanaCCM

Sidhani Kama mimi ni mnafki zaidi yako wewe unayeitukana CCM kutwa kucha huku ukipambana kuitumikia ilani ya CCM na kufaidi matunda ya serikali ya CCM wewe na jamaa zako katika maisha ya kila siku
 
Back
Top Bottom