Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni

Mimi nashangaa sana Mwanasheria kuwa goigoi kwenye lugha ya Kiingereza, hii inawezekanaje?

Hivi kweli mtu unasoma hadi level ya kuwa na PhD halafu unashindwa kumudu lugha uliyotumia kujifunzia? Uliandika vipi hayo maandiko?
 
Wanaotuingiza kwenye mikataba hii wapo tu
 
Halafu kuna K atajitokeza na kusema kiingereza kiwe lugha ya kufundishia hadi chuo kikuu. Upumbavu mtupu
Halafu akishamaliza kusema hivyo anaomba namba ya malipo amlipie milioni 30 mtoto wake akasome shule ya kiingereza. Msiwaamini wanasiasa, wanataka watoto wenu wawe magoigoi ili waje kuwatawala milele.
 
Halafu wakose posho!?

Wabongo wako radhi waaibike kuliko kukosa posho
Hii ni fedheha kubwa sana, kwa mtu anayeonekana msomi; maana yake ni sawa na kutangazia dunia kuwa uko empty, na hii inaweza kumtesa sana kisaikolojia.
 
Pia Ni TISS huyu jamaa sasa fikiria watu waliopo TISS

Upate picha halisi sasa ya vijana wa TISS
 
Yule Mruma sijui ndiye mnayemuona Professor!! Alinikera sana pale anaingiza vidole mdomoni kujichokonoa kwenye meno, halafu akahamia kuviingiza puani.
Au hawakumwambia kuwa case ipo live?
 
Ndio wasomi wa Tanzania Sasa unatakaje? Hukuona ya Ndalichako na Mchina? Harafu mnataka kuondoa Kingereza eti lisiwe somo la lazima πŸ˜†πŸ˜†

Mwisho unashangaa na.mtu mjinga kama.Mdude eti nae anamcheka Mruma kana kwamba anaelewa chochote kwenye hayo Mazungumzo πŸ˜†πŸ˜†
 
Wewe unaweza jibu? Kuna swali umeelewa?
 
Mimi nashangaa sana Mwanasheria kuwa goigoi kwenye lugha ya Kiingereza, hii inawezekanaje?

Hivi kweli mtu unasoma hadi level ya kuwa na PhD halafu unashindwa kumudu lugha uliyotumia kujifunzia? Uliandika vipi hayo maandiko?
Halafu unawakuta wanajitutumua kiswahili kiwe lugha ya kufundishia utadhani kwenye hiyo mikataba ya kimataifa watakutana na kiswahili! Inakera na kuhuzunisha sana, thamani ya elimu yetu ni changamoto.
 
Ameyataka mwenyewe mtu wa geology ametoka wapi na wanasheriaa sipati picha Yule aliye kuwa mwanasheria wa jiwe bwana adeledurus kilangi jamaa alikuwa mweupe mno

Hyo Kaz angepewa Andrew chenge tungeshinda hyo kesi
 
Yaani kwa sababu za watawala kutojua kupambanua mambo hata prof wa kununua Phd yake ya wiki tatu anawapiga akiwahadaa kuwa yeye ni prof, na anaweza kuwatetea kimataifa au hata kutengeneza sera zetu.
Nilikuwa nashangaa uelewa wa Mkumbo kama ni prof, ila baada ya kuona hawa kina Mruna sitashangaa tena.
Halafu ndio mama amemchomeka ofisini kwa sababu ya hawa DP world tutapigwa mamilioni ya dolla mchana kweupe. Na hivyo tushajichanganya kusaini ule mkataba kwa ushabiki wa bunge la ccm na hivyo kwa sasa ni waraka wa mkataba kisheria tena ya milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…