Mtanzania2020
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 817
- 1,752
Daaaah ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Jaji Masaju ni mshauri wa nini? Kama Kabudi ni mshauri wa kisheria ?Umemsahau Kabudi? Au unafikiri anafanya nini Ikulu? Si ndiye mshauri mkuu wa Sheria wa rais?
Wewe unafikiri Ikulu ina mshauri mmoja tu?Na Jaji Masaju ni mshauri wa nini? Kama Kabudi ni mshauri wa kisheria ?
Ficha ujinga wakati mwingine
Mshauri wa Sheria ushasema na mshauri wa Sheria wa Rais ni Jaji Masaju sio KabudiWewe unafikiri Ikulu ina mshauri mmoja tu?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Madrasa hakuna wajinga.Mshauri wa Sheria ushasema na mshauri wa Sheria wa Rais ni Jaji Masaju sio Kabudi
Mengine tukueleweshe sababu unashinda sana Madrasa huelewi
Zanzibar kumejaa madrasa Kila Kona na Kila matokeo ya NECTA wanakuwa wa mwisho sababu ni nini?Madrasa hakuna wajinga.
Unafikiri Ikulu ina mshauri mmoja tu?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Mimi kinachonitisha ni watanzania kudhani dunia nzima ni wajinga kama tulivyozoezwa sisi kuamini uwongo hadharani kuwa ni kweli. Watanzania wengi ni incompetent hili wala siyo siri ila huku ndani ndiyo huwa tunadanganyana sisi ni wajuziMtazunguka mmbuyu weeh, lakini kwa wengine wala sio jambo la kushangaza vitimbi watakavyofanya watanzania huko.
Na lipo wazi kwanini awawezi shinda kesi.
I have stated more than 1000 times, sakata la IGA lime expose wanasheria wa Tanzania kwenye maswala ya mikataba hamna kitu.
Sasa wewe dhani utani just because unataka kusikia unayopenda wewe; ila kwenye dunia ya wote nje ya Tanzania hayo mambo yanaamuliwa kwa kanuni dunia iliyojiwekea sio vitu unavyotoa kichwani.
Train people appropriately sio kuunga kuunga halafu udhani that’s how the world works.
Ukienda kwa wazungu watakutandika, hawa ni watu if left alone bila ya serikali zao kuwa na mechanism za kulinda wananchi. In the name of capitalism wapo radhi kuchukua hela ya mtu alieifanyia kazi mwezi mzima yote bila ya huruma na wala hakosi usingizi usiku. Halafu wewe upeleke unga unga kwenye case zao.
hawaibi mitihani.Zanzibar kumejaa madrasa Kila Kona na Kila matokeo ya NECTA wanakuwa wa mwisho sababu ni nini?
Hawajui na sio hawaqajuwihawqajuwi Kiswahili.
Nuhu Jabir Mruma ni Katibu Mkuu wa BAKWATA. Just google mkuuMkuu Yana ukweli haya!!?
Ni Professorial RubbishHivi Mruma ni mtaalamu wa Sheria ama yule ni Geologist?
Why serikali inawatuma watu wa miamba wakalitetee taifa kwenye maswala ya Kisheria?
Muda mwingine unaweza kufikiria kuna baadhi ya watu wanataka Tanzania ishindwe, idaiwe Mabillion kisha nao wapate mgao.
Hii hearing ilikuwa hatari sana. Anaulizwa hivi ndivyo mwanasheria wako amekuambia useme? Mzee anajing’ata tu.Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM?
Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie?
View attachment 2697730
Wasomi wa Juzuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bahati mbaya sasa tuna msomi wa MADRASA ANAIUZA nchi kabisa...
Bladfvck
Wale wanafundishwa kutawadha, kucheza kareti na kujifunga mabomu ili kujilipuaKuna wasomi wa MADRASA
wameuza Loliondo uarabuni
Wakauza gesi
Richmond
Bandari ndio wanamalizia
Lazima Watoto wa Wafuasi wa Mwamedi wafaulishwe kwa namna yoyote, tena tunaanzia na kule ZanzibarElimu inanajisiwa kisa kumfurahisha mkuu na siasa uchwara.
Mitihani ya kidato cha 6 ni uharo mtupu
Poor brain, wanakazania kwenda kupewa wanawake 70 wenye macho makubwa kama vikombe...hayo si majini?Wale wanafundishwa kutawadha, kucheza kareti na kujifunga mabomu ili kujilipua
Mudi na wafuasi wake ni vichaaPoor brain, wanakazania kwenda kupewa wanawake 70 wenye macho makubwa kama vikombe...hayo si majini?
Akili huna, kwamba yeye alipanga kushindwa ?Hii ndiyo 'mentality' ya kipuuzi kabisa inayoenezwa katika taifa hili.
Unashangilia kushindwa, na kwamba utasahau na maisha yataendelea kama kawaida!
Hopeless Kabisa kwa watu wenye akili za kijinga namna hii.
Huyo kikongwe ni wa kujifanya anajua kila jambo kumbe hamna kituHawajui na sio hawaqajuwi
Shule ulienda kusomea ujinga?