Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni

Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni

Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM?

Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie?

View attachment 2697730
Kasheshe...nimeskia 'I got up not well today'

Was that an excuse or?
 
Bado DP World najua siku ikifika utakua humu humu usije ukabadirisha ID tu
Dp World haijaanza kazi Tushaona rasha rasha za ajabu za Waarabu wanaowekeza.

Njoo Pwani ujionee.

Kondoo sasa hivi bei juu kuliko mbuzi.

Unalijuwa hilo?
 
Wakati wa shida utajua mmiliki wa kweli wa title wanazopeana.
Nafkiri Mzee Geo alikuwa hasikii chalii aliyokuwa akitamka.
Hapo anahojiwa na wakili wa walalamikaji, mkuu wanasheria huwa ni wajanja sana mnapokuwa ulingoni mfano hapo anakupeleka resi ili uende anavyotaka uingie mkenge ujae kwenye 18...mi naona mzee anafanya vizuri kuweka pause kupata nafasi kutafakari jibu la kutoa.
Sidhani kama ishu hapo ni lugha. Na kingine pamoja na kwamba Mzee atakuwa kapewa desa na wakili upande wao ila kwakuwa maswali ni mengi yanakutaka wewe kama wewe hapo ujibu
 
Kwa taarifa yako Profesa Mruma ni muislamu wa swala tano na jina lake ni AbdulkarimMruma.
Kishajichanganya yeye mwemyewe,badala ya kujadili mada yeye kaingiza udini,matokeo yake kajikuta kishatukana dini yake mwenyewe akidhani ni anatukana wengine
 
Hivi Mruma ni mtaalamu wa Sheria ama yule ni Geologist?

Why serikali inawatuma watu wa miamba wakalitetee taifa kwenye maswala ya Kisheria?

Muda mwingine unaweza kufikiria kuna baadhi ya watu wanataka Tanzania ishindwe, idaiwe Mabillion kisha nao wapate mgao.

Hivi mruma si wa dini yenu bigshow? Maana anaitwa hamis abdukarim mruma au majina wamekosea?
he hee ninakumbuka Professorial rubbish wa makinikia ndiye huyu huyu anateswa! kwa kudesa mambo mengi
 
Kadhalilika wapi? au ujinga wa watu kujiona wanajua sana .

Rais anafanyiwa bullying sembuse huyo wengi wanamnanga Kwa ishu ya kisasa ,kwani kushindwa ni kosa ..yatapita tu na atabaki na familia yake ni maneno tu.


Kusoma hekima ndo maana watu wanafanya bullying ,kukosea kawaida mbona Mwakinyo alienda nje akapigwa alizomewa na kupewa kejeli ila sasa kashasahau na maisha yanaendelea
Hii ndiyo 'mentality' ya kipuuzi kabisa inayoenezwa katika taifa hili.
Unashangilia kushindwa, na kwamba utasahau na maisha yataendelea kama kawaida!

Hopeless Kabisa kwa watu wenye akili za kijinga namna hii.
 
Back
Top Bottom