Fanya wanaye Prof mmoja tu, Prof Assad kwasababu Prof Malima alishatangulia mbele za haki.Kwahiyo nyie mna maprofesa Wawili tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya wanaye Prof mmoja tu, Prof Assad kwasababu Prof Malima alishatangulia mbele za haki.Kwahiyo nyie mna maprofesa Wawili tu?
Sawa wamemuonea tu bora angeenda MayalaHaijalishi elimu yangu
Mruma hakuwa mtu sahihi kwenye ile kesi..
Wacha waipate wenyewe.Hivi Mruma ni mtaalamu wa Sheria ama yule ni Geologist?
Why serikali inawatuma watu wa miamba wakalitetee taifa kwenye maswala ya Kisheria?
Muda mwingine unaweza kufikiria kuna baadhi ya watu wanataka Tanzania ishindwe, idaiwe Mabillion kisha nao wapate mgao.
Sawa mkuuWaswahili wana msemo kuwa "SAMAKI HUOZA KUANZIA KICHWANI!" Kama viongozi wakuu wa serikali wanapokea rushwa unategemea nini kwa watu wanaowaongoza? CCM na Serikali yake wamepokea rushwa kutoka kwa waarabu ili wauziwe Bandari , sasa wana moral authority gani kukemea kutoa na kupokea rushwa katika jamii? Hizo TOYO zenye picha ya SAMIA zimenunuliwa toka mfuko gani kama sio fedha za hongo toka Uarabuni?
Huyo sio Mruma hii kesi imewekwa hadharani masaa karibu 23 ukisiliza kila kitu utalia na kusaga meno na kuona kuwa Tanzania hakuna wasomi au uongo na udanganyifu ni hulka ya WatanzaniaProfesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM?
Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie?
View attachment 2697730
Haya yata mtokea tena prof mwingine wa Dp world hivi karibuni. Yaani Mruma hajui ashike wapi? Amebaki kusema serikali ilikuwa na imani na muwekezaji. Ana rusha rusha mikono utadhani ni bubu. MaskiniiiProfesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM?
Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie?
View attachment 2697730
Wasomi tunao wengi lakini watawala hawatumii kwa sababu ya ufisadi wa hawa viongozi!!Huyo sio Mruma hii kesi imewekwa hadharani masaa karibu 23 ukisiliza kila kitu utalia na kusaga meno na kuona kuwa Tanzania hakuna wasomi au uongo na udanganyifu ni hulka ya Watanzania
Mruma inaelekea alikuwa na maslahi ya hili tatizo walifukuzwa wale wakapewa wengine ?? Watanzania hawaonekani wakweli hapa kuna kitu wanafichaAmeitwa kama shahidi...Tusitetee uzembe. Serikali itaku protect vipi kama wewe mwenyewe siyo independent in thinking?
Academics have to learn to abstain from being used like toilet papers...Kuna jinsi ya kushauri viable options badala ya kwanza kujidhalilisha wewe mwenyewe na taaluma Kwa ujumla. Hii iwe fundisho for the rest of us!
Kwani walipi mtuma Kitenge na Zembwela Dubai wale ni wana sheria?Hivi Mruma ni mtaalamu wa Sheria ama yule ni Geologist?
Why serikali inawatuma watu wa miamba wakalitetee taifa kwenye maswala ya Kisheria?
Muda mwingine unaweza kufikiria kuna baadhi ya watu wanataka Tanzania ishindwe, idaiwe Mabillion kisha nao wapate mgao.
Mzee wa MIGAKuna MAFALLA WA NCHI HII WALIMTUKANA LISU SANA ALIPOTOA TAHADHARI HII LEO IMEJIBU
View attachment 2697667
Hilo sio tatizo. Tatizo ni kwamba sisi ni wakurupukaji, wazembe na taifa la masihara au la washenzi wanaojua wanachokifanya kwa maslahi yao binafsi.Hilo ndio Tatizo letu Tanzania, tunataka mambo ya Miamba basi heads wa idara lazima awe geologist au Head wa Idara ya Afya head awe MD.
sasa case kama hiyo si bora angeenda lawyer kuwakilisha.
Nyerere hajatikanwa ameambiwa ukweli na yeye ndio Dikteta namba moja hapa nchini kama aliona katiba ni CCM manifesto kwa nini anufaika na hiyo katiba miaka yote bila kubadilisha na kuweka ratini inayoleta utawala bora??Unamfata huyo mental case aliyemtukana Nyerere?
Unajuwa kuwa alimtukana Nyerere bungeni? Au unataka ushahidi?
Unacheka ndugu zako wapare ntu ya milimani 😂Mdogo wake ndiye Katibu mkuu wa Bakwata😂😂
Akina Mshana jr 😂Unacheka ndugu zako wapare ntu ya milimani 😂
Sio kama anashindwa kuzungumza njia ya mwongo ni fupiMtu aliyempeleka huyu bwana kutuwakilisha kwenye hii kesi must be criminally prosecuted. Ni lazima kulikuwa na conspiracy kuwa ile kesi nchi ishindwe ili watu wapate mgao wao!! How come huyo jamaa anashindwa hata kuzungumza? You cannot win when you send zombies like this man to represent you!
Na ubabaishajiWacha waipate wenyewe.
Wamezoea wizi seeikalini walijua na huko wanaenda kwa mazoea.