Mimi naamini kabisa kuna watu ndani ya Serikali / huko juu kama sio waliwekwa kwa kubebana, basi ni vilaza kuwahi kupata kutokea.
Kuna raia nje ya system very bright, mpaka unajiuliza hawa watu kwa nini hatuwatumii kwenye mambo ya msingi kama Taifa.
Najua mnasoma na kuona, mnatukosea sana sisi raia na wananchi wa kawaida, haya mambo si yanastaajabisha ila yanasikitisha sana.
Hata hili la bandari, tusipokuwa makini tutatuma tu watu kwenda kujibu huko kwa wenye lugha zao na mahakama zao, tunajitekenya sana na kujicheka wenyewe.
Aibu sana.