Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni

Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni

Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM?

Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa.....kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie?
Hueleweki. Na wewe ni mwanafunzi wake?

Sasa tunaposema Watanzania walio wengi "wanasomea ujinga" ulikuwa hutuelewi?
 
Mkuu ninasikitika kusema sio tu yalikuwa mepesi bali wanafunzi walikuwa wanasaidiwa na wasimamizi na kurusiwa kusaidiana.

Nina wanafunzi kadhaa wamekiri hili
Lile swala limefanyika NECTA kwenye upangaji matokeo
Mkoa wa Mara kwa mara ya kwanza haujapata 0 wala 4
 
Hivi Mruma ni mtaalamu wa Sheria ama yule ni Geologist?

Why serikali inawatuma watu wa miamba wakalitetee taifa kwenye maswala ya Kisheria?

Muda mwingine unaweza kufikiria kuna baadhi ya watu wanataka Tanzania ishindwe, idaiwe Mabillion kisha nao wapate mgao.
Ameitwa kama shahidi...Tusitetee uzembe. Serikali itaku protect vipi kama wewe mwenyewe siyo independent in thinking?

Academics have to learn to abstain from being used like toilet papers...Kuna jinsi ya kushauri viable options badala ya kwanza kujidhalilisha wewe mwenyewe na taaluma Kwa ujumla. Hii iwe fundisho for the rest of us!
 
Kadhalilika wapi? au ujinga wa watu kujiona wanajua sana .

Rais anafanyiwa bullying sembuse huyo wengi wanamnanga Kwa ishu ya kisasa ,kwani kushindwa ni kosa ..yatapita tu na atabaki na familia yake ni maneno tu.

Kusoma hekima ndo maana watu wanafanya bullying ,kukosea kawaida mbona Mwakinyo alienda nje akapigwa alizomewa na kupewa kejeli ila sasa kashasahau na maisha yanaendelea

Usimfananishe Profesa na vitu vya ajabu.

Hivi unajua maana ya Profesa Mkuu?

Profesa wanaongozwa na Kanuni isemayo, "No research no right to speak" halikadhalika wao hutumia zaidi rejea Kwa mambo ambayo hawaja yatafiti.
Sasa ukisema Profesa kukosea ni kawaida unajaribu kuutukana uprofesa wenyewe.
 
Kadhalilika wapi? au ujinga wa watu kujiona wanajua sana .

Rais anafanyiwa bullying sembuse huyo wengi wanamnanga Kwa ishu ya kisasa ,kwani kushindwa ni kosa ..yatapita tu na atabaki na familia yake ni maneno tu.

Kusoma hekima ndo maana watu wanafanya bullying ,kukosea kawaida mbona Mwakinyo alienda nje akapigwa alizomewa na kupewa kejeli ila sasa kashasahau na maisha yanaendelea
Kukosea na kutojua kitu ni vitu viwili tofauti, Mruma hajakosea bali hajui.
 
Mtazunguka mmbuyu weeh, lakini kwa wengine wala sio jambo la kushangaza vitimbi watakavyofanya watanzania huko.

Na lipo wazi kwanini awawezi shinda kesi.

I have stated more than 1000 times, sakata la IGA lime expose wanasheria wa Tanzania kwenye maswala ya mikataba hamna kitu.

Sasa wewe dhani utani just because unataka kusikia unayopenda wewe; ila kwenye dunia ya wote nje ya Tanzania hayo mambo yanaamuliwa kwa kanuni dunia iliyojiwekea sio vitu unavyotoa kichwani.

Train people appropriately sio kuunga kuunga halafu udhani that’s how the world works.

Ukienda kwa wazungu watakutandika, hawa ni watu if left alone bila ya serikali zao kuwa na mechanism za kulinda wananchi. In the name of capitalism wapo radhi kuchukua hela ya mtu alieifanyia kazi mwezi mzima yote bila ya huruma na wala hakosi usingizi usiku. Halafu wewe upeleke unga unga kwenye case zao.
 
Tatizo kubwa la nchi hii watu hawana Professional Intergrity.
Wasomi wengi wanaendeshwa na Wanasiasa.

Kwenye la kuvunja mikataba wa kulaumiwa anajulikana wala sio Prof. Mruma
Very correct Kaka
Yaani nimeangalia ile video mzee wetu anatia huruma. Ndio shida ya kuwachekea wanasiasa
 
Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM?

Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa.....kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie?
Huyo ndio think tank wa serikali,yupo hapo hajui chochote yuko kama lusinde
 
Back
Top Bottom