peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Uishe aondoke na yule bibi!Mwacheni mzee wa watu mkataba wake unaisha mwaka 2025😎😎
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uishe aondoke na yule bibi!Mwacheni mzee wa watu mkataba wake unaisha mwaka 2025😎😎
Bibi ganiðŸ¤ðŸ¤ðŸ¤ðŸ¤Uishe aondoke na yule bibi!
100!!Bibi ganiðŸ¤ðŸ¤ðŸ¤ðŸ¤
Hastahili kuwa Prof kwa ujinga huo aliounyesha hapo, nchi inaongozwa na maboga tu.Tatizo kubwa la nchi hii watu hawana Professional Intergrity.
Wasomi wengi wanaendeshwa na Wanasiasa.
Kwenye la kuvunja mikataba wa kulaumiwa anajulikana wala sio Prof. Mruma
GstHuyu prof. Ni kamishna wa Madini yupo na Prof. Kikula (M/Kiti) MC mi sipo mbali sana na ofisi yao.
Huyo ndio boga la taifa kabisa.Bahati mbaya sasa tuna msomi wa MADRASA ANAIUZA nchi kabisa...
Bladfvck
Duh
Mruma siyo msomi wa kanisa hata. Ni kwa vile mhusika hajui anachoandika.Kuna wasomi wa MADRASA
wameuza Loliondo uarabuni
Wakauza gesi
Richmond
Bandari ndio wanamalizia
Makubazi utawaweza?Mruma siyo msomi wa kanisa hata. Ni kwa vile mhusika hajui anachoandika.
GST yupo mchizi wangu mi sipo hapo mwamba, nipo na Prof. Kikula na Mruma na Eng. Samamba. Kama kuna mtu ananitafuta aje atanikuta. Mkimsema boss wangu napata moto 😠😠😡😡🤬🤬
Professor Abdulkarim Mruma.Huyo ndio boga la taifa kabisa.
shaid mkuu, hiyo ni cross examinationHivi Mruma ni mtaalamu wa Sheria ama yule ni Geologist?
Why serikali inawatuma watu wa miamba wakalitetee taifa kwenye maswala ya Kisheria?
Muda mwingine unaweza kufikiria kuna baadhi ya watu wanataka Tanzania ishindwe, idaiwe Mabillion kisha nao wapate mgao.
Umemsahau Kabudi? Au unafikiri anafanya nini Ikulu? Si ndiye mshauri mkuu wa Sheria wa rais?Na Hawa wanapouza bandari ni wasomi wa kanisa
Unamfata huyo mental case aliyemtukana Nyerere?"professorial rubbish" - Lissu 2017
Kwanini hukumsaidia boss wako kujibu yale maswali mkamuacha anaenda kudhalilishwa!GST yupo mchizi wangu mi sipo hapo mwamba, nipo na Prof. Kikula na Mruma na Eng. Samamba. Kama kuna mtu ananitafuta aje atanikuta. Mkimsema boss wangu napata moto 😠😠😡😡🤬🤬
Mimi naamini kabisa kuna watu ndani ya Serikali / huko juu kama sio waliwekwa kwa kubebana, basi ni vilaza kuwahi kupata kutokea.Hivi Mruma ni mtaalamu wa Sheria ama yule ni Geologist?
Why serikali inawatuma watu wa miamba wakalitetee taifa kwenye maswala ya Kisheria?
Muda mwingine unaweza kufikiria kuna baadhi ya watu wanataka Tanzania ishindwe, idaiwe Mabillion kisha nao wapate mgao.
Hawakuniaga😎 halafu mi sio mwanasheriaKwanini hukumsaidia boss wako kujibu yale maswali mkamuacha anaenda kudhalilishwa!