Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni

Mbaya Zaid professor Ni muislamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Serikali ya CCM ndiyo iliyowa invite Wawekezaji kuja kuwekeza humu nchini. Serikali hiyo hivyo wakatumia ubabe kuvunja mikataba bila kufuata utaratibu.

Ningeshauri wahusika wote washitakiwe humu humu nchini kwa kesi ya uhujumu uchumi. Pili fidia zote zilipwe kwa fedha za CCM na sio fedha za umma. Hili litasaidia hawa Wajanja wachache kujifunza kuwa Umma hauchezewi.
 
hahahahhaha kila nikiangalia nacheka
 
Ukiyakuta chuoni haya majitu unaweza hata yaabudu jinsi yanavyojifaragua lkn kichwani ni meupe vibaya mno yakikutana hata na mwanafunzi wa basic certificate huko Ulaya!!

Hapo yamevimbiwa pombe na anasa za posho na vichwa wanavyopewa na wapuuzi wenzao wa CCM!

Miafrika hasa mijamaa ya Tanzania iko hovyo sana sana ila inapenda kuabudiwa kwa upumbavu wao!
 
Nimewasikiliza asubuhi na mchana kwa kweli wana tia aibu. Yaani mie class seven B ninge weza jibu vizuri kuliko hawa profesa rubbish.
 
 

Attachments

  • 567F0083-A8B6-462C-8AE9-31898C2B936C.jpeg
    47.7 KB · Views: 3
Sidhani kama ni sahihi kusema wameiaibisha Nchi. Unless hujui rigors za mahakamani wewe. Alicho kuwa anahojiwa Mruma ni uwepo na kushughudia nyaraka ya Hati ya dharura "certificate of urgency" Sababu zilizopelekea hiyo udharura. Nadhani tatizo ni upangaji wa mashahidi, kwamba nani aende aka shuhudie jambo gani alilohusika nalo kwa vipi. Purely maswala yale alipaswa kuuulizwa AG.

Iwe iwavyo, Tanzania tuna wasomi wazuri sana. Tattizo ni viongozi wetu. Kwamba viongozi wanaharibu mambo kwa mihemko Yao na maubaavu Yao baadae wasomi ndio waende kuetetea kilichotokea.

Ni vema wasomi Hawa Wakawa wanahusika na mambo yote toka mwazo na kushauri bila kuingiliwa ingiliwa na Viongozi.

Hata kama Kesi hii Tanzania itashindwa, tatizo sio wasomi (wanasheria) tatizo ni papara za Uongozi wa Nchi. Mfano sakata hili la madini Nina uhakika Magufuli alikuwa anali guide kwa nguvu sana. Na Alisha declare kuwa Nchi Iko katika vita ya kiuchumi na yeyote ambaye angeenda kinyume alipaswa kuwa dealt with. Nina hakika wakumshauri ukweli, walijawa na woga na wakasema kile kilichomfurahisha.

Mambo ya Kesi mahakamani hayaendeshwi kwa mihemko na hisia za kisiasa, Bali yanahitaji hoja, ushahidi, na logic. Yeye alijigamba amekuwa serikalini kwa Miaka 20 hivyo hakuna asichokijua.

Ifike mahali wataalam wetu waaminiwe na watoe ushauri kwa uweledi na sio kwa kuongozwa na woga au kumfurahisha mtawala.
 
Kama hajui amekwenda kufanya nini mahakamani?? Rubish
 
Absolutely right. Mpumbavu akipewa madaraka anajiona Mungu mtu 🤣🤣🤣 hio ndio bongo.
 
Mimi nashangaa sana Mwanasheria kuwa goigoi kwenye lugha ya Kiingereza, hii inawezekanaje?

Hivi kweli mtu unasoma hadi level ya kuwa na PhD halafu unashindwa kumudu lugha uliyotumia kujifunzia? Uliandika vipi hayo maandiko?
Kuandkia ni tofauti na kuongea.
 
Sababu tunapenda matabularasa yanayotusikiliza bila kutumia akili ni fedheha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…