Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni

... chini ya CCM hii nchi ina hasara kweli kweli! Haya wale waliokuwa wanapiga hoja ya Lissu kwamba kwa ubabe ule tungeshtakiwa wako wapi? Nchi itafilisika hii!
Lissu the legend
 


Aisee hii ni aibu!

1. Anaulizwa swali kuhusu document
2. Anaikataa, hajaiona.
3. Anaulizwa, si ume I submit
4. Anajibu nimeamka Vibaya leo....

Jaman hii nchi ni ya aina gani, wabinafsishe mpaka UD kwa DP
 
Anajitete eti Sheria za mwaka 2010 zilikuwa ni ku encourage investors waje.

Sasa wakili anamuuliza So The whole crew of Ministers of Energy and minerals, minister of Environments including you CEO of TPDL did not knew this? Was that mistakenely done?

Akasema The Government Didntly......

Wakili anacheka😅😅😅
 
Ni afadhali hata wangejitambulisha kuwa professionally ni walimu wa chekechea kuliko kusema eti mmoja ni profesa mwingine ni mwanasheria mwenye masters degree.
Hahahaha 😂😂😂😂
 
Unadhani kwa nini serikali haikumpeleka mwanasheria kwenye suala hili!!!? Ilikuwa na Nia gani?
Mwanasheria mkuu yupo ila Mruma na wanzake ni mashahidi wa serikali wa kuthibitisha kwa nini wamenyanganya huyo mwekezaji mali zake bila kumlipa ni muhimu Watanzania wakaangalia hii sinema yoowakaielewa vizuri ili wajue nani anawasaliti
 


Hakuba bullying anayofanyiwa, anaulizwa maswali ambayo hata mimi nikichukuliwa toka usingizini sijajiandaa siwezi jibu hivyo
 
Aibuuuu! Kumbe wanajificha nyuma ya titles na vyeo vikubwa. Wamefika hapo kwa kuiba maandishi na mawazo ya wengine. Mama Amon ona mnavyojidhalilisha!
 
Professorial RUBBISH. Wakuu pelekeni watoto International Schools, achaneni na propaganda za CCM za elimu bure. Elimu ya serikali ya CCM-Tanzania bado haitaweza kukidhi viwango vya kimataifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…