Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Utetetezi wa kijinga snSi sahihi kumtetea Pro. Mruma kuwa amevunjiwa heshima, kilichotokea ni udhaifu wa elimu yake. Pro. Mrema alionekana anaelekezwa kufungua kurasa! Pro. Mrema alijitetea kwa kusema eti hajisikii vizuri kwani hakuamka vizuri! Huu ni utetezi wa kitoto.
Hadhalilishwi isipokuwa anajidhalilisha kwa ujinga wake... Prof. Mruma alienda kama shahidi na sio wakili. Ikumbukwe akiwa CEO wa GST, documents za mkataba zilipitia kwenye desk lake kama hatua ya kukamilisha process.
By the way, nakubaliana na mapungufu mengi kutoka taasisi zetu za umma including kutokuwa makini linapokuja suala la "maandishi" hasa kwa vitu sensitive kama mikataba ya kimataifa.
Mfano rahisi, angalia barua kutoka ofisi hiyo hiyo ya Prof. Mruma; pay special attention to the complimentary close (Thank you for your corporation). Unajiuliza kama hiyo ni just barua tena waliyaondika wenyewe; mkataba waliusoma wakauelewa kweli?
Barua hiyo inatumika kama kielelezo kwenye kesi ambayo Prof. Mruma anadhalilishwa na vijana wadogo wa kizungu.
View attachment 2698476
Umeona Sasa, so unachojua geologist anakagua madini pekee ama nin? Kuna madini yoyote yanapita kwenye ofisi ya CAG?Akili zingine bhana wewe utakuwa mdogo wake Mruma, sasa geologist kwenye hizi office ni wanini?
Attorney general office
-Mkemia mkuu office
-TBS
-NEMC
-TBA
-Ikulu
-Mahakama
-TANESCO
- Bunge
Geologist anatakiwa kuwepo CAG office pekee kwasababu anakagua madini.
Tanzania haijabarikiwa imelaaniwa haswa kuwa na viongozi wa hovyoTanzania imebarikiwa kila kitu. Isipokuwa imenyimwa kitu kimoja tu viongozi wazalendo kwa nchi yao.
Mkuu kwenye cross extermination kama hamkufuata taratibu unaweza kuishia kupiga chafya. Mahakamani unajibu ulichoulizwa sasa kama akina majibu utabaki kujiumauma tu. Ref cross extermination za Kibatala and others kwenye kesi ya ugaidiProf hapa alikuwa witness tu ndio nakubaliana na wewe, pamoja na prof kuwa witness pia kuna language barrier kati ya prof na hao majamaa wa winshear hawezi kabisa kutamka full sentence hata 1 tu akaeleweka. Huyu prof kingereza hajui hata kama vifungu vimekaa vibaya atleast tuone uwasilishaji wako wa hoja kama shahidi lakini yeye masikini anabaki kurusharusha mikono.
Wewe kuna jambo hulielewi vizuri, unajua maana ya bunge? Bunge linahusisha watu wa namna gani.Umeona Sasa, so unachojua geologist anakagua madini pekee ama nin? Kuna madini yoyote yanapita kwenye ofisi ya CAG?
Tatizo ni ujuaji wetu kwenye kada za watu.
Wewe kuna jambo hulielewi vizuri, unajua maana ya bunge? Bunge linahusisha watu wa namna gani.
Taifa limekosa dira na badala yake linatumia ilani ya chama hapo ndio upumbavu wake ulipoTanzania inateswa na ujinga wa kuendeshwa kwa maono ya Rais badala ya dira ya Taifa
Usishangae kajituma!Hivi Mruma ni mtaalamu wa Sheria ama yule ni Geologist?
Why serikali inawatuma watu wa miamba wakalitetee taifa kwenye maswala ya Kisheria?
Muda mwingine unaweza kufikiria kuna baadhi ya watu wanataka Tanzania ishindwe, idaiwe Mabillion kisha nao wapate mgao.
Chawa wametufikisha hapaTaifa limekosa dira na badala yake linatumia ilani ya chama hapo ndio upumbavu wake ulipo
Naye ni Professor na amesoma nje na ndiyo alikuwa kiongozi wa baraza la mitihaniKiufupi elimu yetu inapaswa kutazamwa upya. Refer kiingereza cha mama Ndalichako.
Tusiwacheke maana ni matokeo ya elimu yetu mbovu.
Kama amesoma nje kutokujua kiingereza ni uzembe wake, labda kama ni nchi ambayo haizungumzi kiingereza.Naye ni Professor na amesoma nje na ndiyo alikuwa kiongozi wa baraza la mitihani
Kasoma Masters na PhD Uingereza lakini hajui mpka leo kiswahili chenyewe kinampa shida anaongea kihaKama amesoma nje kutokujua kiingereza ni uzembe wake, labda kama ni nchi ambayo haizungumzi kiingereza.
Inasikitisha.
Ulugaluga ni janga😀Kasoma Masters na PhD Uingereza lakini hajui mpka leo kiswahili chenyewe kinampa shida anaongea kiha
Tena chama chenyewe CCM aka Chazo Cha Matatizo.Taifa limekosa dira na badala yake linatumia ilani ya chama hapo ndio upumbavu wake ulipo
Katoka huko Kigoma ndani ndani kwa bahati akafanikiwa kukariri mitihani na wengine nasikia kabla ya kuanza mifumo walikuwa wanahonga baraza la mitihani mtu anafaulu tu bila hata kujua amefaulu niniUlugaluga ni janga😀