Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni

Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni

Si sahihi kumtetea Pro. Mruma kuwa amevunjiwa heshima, kilichotokea ni udhaifu wa elimu yake. Pro. Mrema alionekana anaelekezwa kufungua kurasa! Pro. Mrema alijitetea kwa kusema eti hajisikii vizuri kwani hakuamka vizuri! Huu ni utetezi wa kitoto.
Utetetezi wa kijinga sn
 
... Prof. Mruma alienda kama shahidi na sio wakili. Ikumbukwe akiwa CEO wa GST, documents za mkataba zilipitia kwenye desk lake kama hatua ya kukamilisha process.

By the way, nakubaliana na mapungufu mengi kutoka taasisi zetu za umma including kutokuwa makini linapokuja suala la "maandishi" hasa kwa vitu sensitive kama mikataba ya kimataifa.

Mfano rahisi, angalia barua kutoka ofisi hiyo hiyo ya Prof. Mruma; pay special attention to the complimentary close (Thank you for your corporation). Unajiuliza kama hiyo ni just barua tena waliyaondika wenyewe; mkataba waliusoma wakauelewa kweli?

Barua hiyo inatumika kama kielelezo kwenye kesi ambayo Prof. Mruma anadhalilishwa na vijana wadogo wa kizungu.

View attachment 2698476
Hadhalilishwi isipokuwa anajidhalilisha kwa ujinga wake
 
Akili zingine bhana wewe utakuwa mdogo wake Mruma, sasa geologist kwenye hizi office ni wanini?
Attorney general office
-Mkemia mkuu office
-TBS
-NEMC
-TBA
-Ikulu
-Mahakama
-TANESCO
- Bunge
Geologist anatakiwa kuwepo CAG office pekee kwasababu anakagua madini.
Umeona Sasa, so unachojua geologist anakagua madini pekee ama nin? Kuna madini yoyote yanapita kwenye ofisi ya CAG?
Tatizo ni ujuaji wetu kwenye kada za watu.
 
Prof hapa alikuwa witness tu ndio nakubaliana na wewe, pamoja na prof kuwa witness pia kuna language barrier kati ya prof na hao majamaa wa winshear hawezi kabisa kutamka full sentence hata 1 tu akaeleweka. Huyu prof kingereza hajui hata kama vifungu vimekaa vibaya atleast tuone uwasilishaji wako wa hoja kama shahidi lakini yeye masikini anabaki kurusharusha mikono.
Mkuu kwenye cross extermination kama hamkufuata taratibu unaweza kuishia kupiga chafya. Mahakamani unajibu ulichoulizwa sasa kama akina majibu utabaki kujiumauma tu. Ref cross extermination za Kibatala and others kwenye kesi ya ugaidi
 
Watanzania tuwe tunaweka kumbukumbu, Sugu alipokuwa mbunge wa Mbeya aliwahi kumsema mbunge mwenzake wa CCM kuwa elimu yake siyo na bunge likamsukasuka, huyo mbunge wa CCM alipokwenda Afrika Kusini kwenye mkutano akajitambulisha kuwa anatoka Tanzania ambayo ni muungano wa Tanganyika na Zimbabwe! Hawa ndio viongozi wa CCM pamoja na wale walioongozana otena Magufuli huko Zimbabwe ambako wote walishindwa kuongea lugha ya kiingereza ikabidi rais wa Zimbabwe ambaye aliwahi kuishi Tanzania wasaidie kitafsiri lugha!
Kwa mtindo huu nchi haitafika mbali, tutaendelea kuwa kichwa cha mwendawazimu.
 
Hivi Mruma ni mtaalamu wa Sheria ama yule ni Geologist?

Why serikali inawatuma watu wa miamba wakalitetee taifa kwenye maswala ya Kisheria?

Muda mwingine unaweza kufikiria kuna baadhi ya watu wanataka Tanzania ishindwe, idaiwe Mabillion kisha nao wapate mgao.
Usishangae kajituma!
Posho Sio mchezo!
Wajuzi mtuwekee ngapi Kwa siku!
Malazi, Malawi, manywaji, usafiri, usiabudu, Emergency....
 
Kiufupi elimu yetu inapaswa kutazamwa upya. Refer kiingereza cha mama Ndalichako.
Tusiwacheke maana ni matokeo ya elimu yetu mbovu.
Naye ni Professor na amesoma nje na ndiyo alikuwa kiongozi wa baraza la mitihani
 
Kama amesoma nje kutokujua kiingereza ni uzembe wake, labda kama ni nchi ambayo haizungumzi kiingereza.
Inasikitisha.
Kasoma Masters na PhD Uingereza lakini hajui mpka leo kiswahili chenyewe kinampa shida anaongea kiha
 
Ulugaluga ni janga😀
Katoka huko Kigoma ndani ndani kwa bahati akafanikiwa kukariri mitihani na wengine nasikia kabla ya kuanza mifumo walikuwa wanahonga baraza la mitihani mtu anafaulu tu bila hata kujua amefaulu nini
 
Back
Top Bottom