... Prof. Mruma alienda kama shahidi na sio wakili. Ikumbukwe akiwa CEO wa GST, documents za mkataba zilipitia kwenye desk lake kama hatua ya kukamilisha process.
By the way, nakubaliana na mapungufu mengi kutoka taasisi zetu za umma including kutokuwa makini linapokuja suala la "maandishi" hasa kwa vitu sensitive kama mikataba ya kimataifa.
Mfano rahisi, angalia barua kutoka ofisi hiyo hiyo ya Prof. Mruma; pay special attention to the complimentary close (Thank you for your corporation). Unajiuliza kama hiyo ni just barua tena waliyaondika wenyewe; mkataba waliusoma wakauelewa kweli?
Barua hiyo inatumika kama kielelezo kwenye kesi ambayo Prof. Mruma anadhalilishwa na vijana wadogo wa kizungu.
View attachment 2698476