mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Kweli kabisaNakuhakikishia kuna vijana fresh wa Sheria wa UD wenye 24 years they are better than these gumboots, by far.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaNakuhakikishia kuna vijana fresh wa Sheria wa UD wenye 24 years they are better than these gumboots, by far.
Wakienda vijana hao wazee posho wamwechie nani!?
Duh,hapo sasa maana wazee hawataki kuachia nafasiWakienda vijana hao wazee posho wamwechie nani!?
Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM?
Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie? Kwa nini hawakumtuma yule dada kiongozi wa bunge anayejiita msomi sana
Hii ndiyo cream of the crop ya MaCCM. Mjitu hata body language yao imekaa kijizijizi. Ni kama vibaka wamekamatwa wameambiwa watubu wanaanza vigugumizi.Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM?
Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie?
View attachment 2697730
Wakati wao wanasomesha watoto huko nje ya nchi na kwenye International Schools, CCM ni wash3nzi sanaWajinga tu hao, ukiona mtu anasimama na kusema tupuuzie lugha ya mataifa na ndio lugha inayotumika kwenye biashara nyingi ujue huyo ni mjinga tu. Na wanaodanganywa hivyo ni maskini na watoto wao.
Aibu sana hiiMimi nashangaa sana Mwanasheria kuwa goigoi kwenye lugha ya Kiingereza, hii inawezekanaje?
Hivi kweli mtu unasoma hadi level ya kuwa na PhD halafu unashindwa kumudu lugha uliyotumia kujifunzia? Uliandika vipi hayo maandiko?
Unamchukuaje academician kwenda kwenye negotiations za kibiashara? Jakaya alikuwa analeta watu kutoka private sector tena Nje ya Nchi mkamuina hazimtoshi,haya Sasa hao ndio wasomi wa JiweIssue sio matokeo tu, ukifatilia vyeti vyao ni vipanga kweli. Issue ni exposure! Huku private mahojiano/ negotiations kama hayo ni kila siku virtual meetings au physical.
Mfano kuna lugha za kisheria, kuna lugha za kibiashara, kuna lugha za kiuchumi n.k discussion kama ile lazima mtu awe na element of law na business.
Pia nimeshangaa hata body expression hazikuwa nzuri, ni rahisi kuonekana unadanganya, hujui, hujitambui n.k kuna muda professor alikuwa anatoboa karatasi kwa pen , mara afunue file unnecessarily n.k
Hivi tunaendaje kwenye case hizi bila hata rehearsal walau? Mambo ya nchi tunauliza maswali ambayo huoni yatasaidia nini!
Very embarrassing! Hili swala watu wanacheka lakini sio Issue ya kutaniana bali ni Issue ya kuibua mjadala uwezo wa watu wetu. Hii case nani anasimamia? Hawa watu wameandaliwa vipi? Hata kama ni case ya kushinda utashinda vipi namna hii?
Binafsi nimejisikia vibaya sana, ningekuwa na uwezo ningeifuta ile video maana inatuvua nguo tu.
Wako vizuri kwenye academics ila sio kwenye mambo ya biashara nkUkiyakuta chuoni haya majitu unaweza hata yaabudu jinsi yanavyojifaragua lkn kichwani ni meupe vibaya mno yakikutana hata na mwanafunzi wa basic certificate huko Ulaya!!
Hapo yamevimbiwa pombe na anasa za posho na vichwa wanavyopewa na wapuuzi wenzao wa CCM!
Miafrika hasa mijamaa ya Tanzania iko hovyo sana sana ila inapenda kuabudiwa kwa upumbavu wao!
Wasomi wa shujaa wenu Jiwe nae alikuwa ni wale wale waliokuwa na broken na kumkimbia Wageni 😆😆🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hili nalo ni tatizo kubwa sana, mara marks zichezewe zishushwe yaani tabu tupu.Kawekwa mmoja pale NECTA kila mtu kafaulu,fainali Chuo kikuu au miaka 10 ijayo
Mumeanza kutengeneza udini?Wote wawe Wagalatia au mujahideen wamesomeshwa na Kanisa hii Elimu ya Wazungu!
IQ havitegemei Ulivyofaulu sana darasani mana Kuna IQ za aina nyingi tuu..Watu kama hawa wanaabisha na kufedhehesha Taifa zima.
Watu wa mataifa mengine watajiuliza, kama profesa yupo hivi, Doctor yupoje, mwenye masters yupoje, mwenye bachelor yupoje, na hao wasio na degree hata moja, watakuwa watu wa namna gani!!
Uko sahihi 100%.... Kiingereza kiwe lugha ya kufundishia from early childhood! That's the point.
Hata uwe na matokeo makali kama kina Ndalichako ila communication Yako ni poor utaonekana kilaza tuu.Gentleman Proffesor
Gentleman PHD
Gentleman Masters
Gentleman Degree
Rais anategemea watu kama unatumbua huyu unaweka yule Bado wanafanya hivyo si Bora kupiga mnada tuu hii Nchi 😂😂Yeye kama Rais anajua hilo anachukua hatua gani; yeye kila wakati kulia lia tu badala ya kuchukua hatua!! Nchi ndio inamomonyoka hivyo na yeye badala ya kuchukua hatua anaishia kulaumu!
The lady is not up to par!
Nayajua mapungufu ya elimu ya Tanzania. Watoto wangu wote, elimu ya chini wamesoma Tanzania, lakini kwa elimu ya chuo kikuu, wote wameenda nje, mmoja amemaliza, mwingine anamaliza mwaka huu, mwingine mwakani, na mwingine natarajia ataenda Cape University January mwakani.IQ havitegemei Ulivyofaulu sana darasani mana Kuna IQ za aina nyingi tuu..
Pia huyo ni mtoto wa maskini zao la jamii yetu,hata wewe hapo matoto Yako Yako hivyo hivyo unless wanasoma Nje ya Nchi
Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM?
Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie?
View attachment 2697730