dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... cream ya taifa hiyo! It's exact reflection ya viongozi wa taifa hili.Sasa anaongea nini mbona haelewi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... cream ya taifa hiyo! It's exact reflection ya viongozi wa taifa hili.Sasa anaongea nini mbona haelewi?
Shahidi wa hivyo ni bora kutokuwa naye!Ni witness. Mawakili wamembeba akawe shahidi kwenye kesi kwa sababu ya nafasi aliyowahi kuteuliwa kuishikilia.
Mkuu wengi hata madrassa hawakumaliza wali attend kaswida tuuuu ndo watetetee maslahi ya nchiKuna wasomi wa MADRASA
wameuza Loliondo uarabuni
Wakauza gesi
Richmond
Bandari ndio wanamalizia
Aibu yetu yaani !Profesa Mruma amepata pigo kubwa sana kwa umri wake; waliomtuma huko Duniani wamedhamiria adhalilishwe na lengo limetimia . Anaulizwa kwa fedheha " haya ndiyo unawafundisha wanafunzi wako wa UDSM?
Muuliza swali ni mtoto wake wa kumzaa. Kwanini tumeruhusu wasiojiweza watusimamie?
View attachment 2697730
Nimecheka ila watu ni wanaa sana hii Bongo 😆😆😆😆Prof anatumwa akatetee ujinga. Hata ungekuwa wewe ungejiumauma tu.
Alienda Kama ShahidiHivi Mruma ni mtaalamu wa Sheria ama yule ni Geologist?
Why serikali inawatuma watu wa miamba wakalitetee taifa kwenye maswala ya Kisheria?
Muda mwingine unaweza kufikiria kuna baadhi ya watu wanataka Tanzania ishindwe, idaiwe Mabillion kisha nao wapate mgao.
Kwa upuuzi wa mikataba kama ya bandari, na iwe tu. Maana haliepukiki kabisa.Hivi Mruma ni mtaalamu wa Sheria ama yule ni Geologist?
Why serikali inawatuma watu wa miamba wakalitetee taifa kwenye maswala ya Kisheria?
Muda mwingine unaweza kufikiria kuna baadhi ya watu wanataka Tanzania ishindwe, idaiwe Mabillion kisha nao wapate mgao.
Halafu alitakiwa apewe rehearsal na mwanasheria kabla ya kwenda pale, sijui kama hicho kitu kilifanyika.Haijalishi elimu yangu
Mruma hakuwa mtu sahihi kwenye ile kesi..
Uko sahihi Mkuu. Mruma hawezi kubadili rangi pale ilipofikia, maana pale vinasomwa vifungu. Vifungu vyenyewe vibovu, anajenga hoja yake wapi. Msingi mbovu nyumba haiwezi kuwa imaraTatizo kubwa la nchi hii watu hawana Professional Intergrity.
Wasomi wengi wanaendeshwa na Wanasiasa.
Kwenye la kuvunja mikataba wa kulaumiwa anajulikana wala sio Prof. Mruma
Wanashambulia kanisa. Hawa watoto wa Kwa house girl taabu sana aisee.Bahati mbaya sasa tuna msomi wa MADRASA ANAIUZA nchi kabisa...
Bladfvck
Hao huwa wana kiburi sana, yaani akiitwa Prof hapa Tz ni ngumu sana kukubali msaada kutoka kwa wanasheria wa kawaida, si ajabu alishauriwa hivyo ila akapuuza.Halafu alitakiwa apewe rehearsal na mwanasheria kabla ya kwenda pale, sijui kama hicho kitu kilifanyika.
Watu dhaifu sanaWanashambulia kanisa. Hawa watoto wa Kwa house girl taabu sana aisee.
Kiingereza cha kuandika wa level ya PHD ataandika vizuri tu tatizo kuongea sasa na ukute anaongeleshwa na mtu ambaye english ndo lugha yake aisee atatamani ardhi ipasuke afichwe kingine kumbuka hao mawakili walioenda huko si ajabu kukuta hawana uzoefu wa kuwakilisha washtakiwa kwenye mashauri magumu na kwenye mahakama za kimataifa usije fikiri wakili aliyezoea mahakama za kisutu eti ataweza shindana na maadvocate ambao leo yupo mahakamani new york kesho yupo paris mtondogoo yupo london keshokutwa yupo durban wiki ijayo yupo sao paulo wiki ijayo yupo abu dhabi
Kuna mpuuzi mmoja tu hapo toka Iran mwizi mwizi mwizi tu aliondoka karudi mmemkaribisha.Kuna wasomi wa MADRASA
wameuza Loliondo uarabuni
Wakauza gesi
Richmond
Bandari ndio wanamalizia
Rost tamu?Kuna mpuuzi mmoja tu hapo toka Iran mwizi mwizi mwizi tu aliondoka karudi mmemkaribisha.
Huyo ndo kimeo.
Tuwaone vilaza wetu?Kwa nini kesi za humu nchini hazirushwi live? Waanze kuzirusha live hata za humu nchini tuwe tunaona mbivu na mbichi.
Hazifutiki..Issue sio matokeo tu, ukifatilia vyeti vyao ni vipanga kweli. Issue ni exposure! Huku private mahojiano/ negotiations kama hayo ni kila siku virtual meetings au physical.
Mfano kuna lugha za kisheria, kuna lugha za kibiashara, kuna lugha za kiuchumi n.k discussion kama ile lazima mtu awe na element of law na business.
Pia nimeshangaa hata body expression hazikuwa nzuri, ni rahisi kuonekana unadanganya, hujui, hujitambui n.k kuna muda professor alikuwa anatoboa karatasi kwa pen , mara afunue file unnecessarily n.k
Hivi tunaendaje kwenye case hizi bila hata rehearsal walau? Mambo ya nchi tunauliza maswali ambayo huoni yatasaidia nini!
Very embarrassing! Hili swala watu wanacheka lakini sio Issue ya kutaniana bali ni Issue ya kuibua mjadala uwezo wa watu wetu. Hii case nani anasimamia? Hawa watu wameandaliwa vipi? Hata kama ni case ya kushinda utashinda vipi namna hii?
Binafsi nimejisikia vibaya sana, ningekuwa na uwezo ningeifuta ile video maana inatuvua nguo tu.
Huwezi kuona kwa sababu ulishaji - tune kutokuona..!!Sikioni Profesa Mruma alichoshindwa kuelewa na alichoshindwa kujibua Bado naendelea kutazama clip