Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

Kachokaje?Bado utaendelea kuzomewa kama unaandika nonsense!
Putin alituma best commandos akitaka kuteka Ukraine ndani ya siku saba tu walifyekwa kama mbwa hadi sasa anatumia wafungwa na wanajeshi mamuluki wa kukodi Wagner Group.leo mwaka wa pili hajateka Ukraine


Yaani the Hague kunamhusu
 
jamani tupeane dili mimi namkamata chap huyo hata hasumbui kwangu ni mchumba tu huyo.
 
Unamlinganisha Rais wa Russia na Osama au Saddam?Kweli elimu Bado ni changamoto!

Hivi bro; huyo Putin unayemkuza kiasi hicho sio binadamu kama binadamu wengine? Je, Huyo si ni Rais wa nchi kama walivyo Marais wengine (Me na Ke)?. Ule Ubabe wake(Ubeberu), vitisho na Tabia ya kufanya uchokozi kwa nchi majirani zake ndo unaomtofautisha na marais wengine yeye anayo sifa ya Ukorofi.

Zingatia kwamba kule Kumiliki eneo kubwa la ardhi (Vast Territorial Area) hakumpi haki ya kujiona mbabe na kuzishambulia au kukwapua ardhi ya nchi majirani zake i.e. kufanya hicho alichokifanya na ndicho kimemfikisha kupewa Hati hiyo. Angetulia kwake hilo wala lisingemkuta.
 
Elimu Yako umeishia ngazi gani?Hata mahakama zetu,Huwa zinarejea kesi zilizowahi kuhukumiwa kabla kwenye muongozo kama Kuna utata!
So wabapotaja hiyo mifano ni kama kufanya Rejea tu!
On September 2, 2020, the United States government imposed sanctions on the International Criminal Court (ICC) prosecutor, Fatou Bensouda, and another senior prosecution official, Phakiso Mochochoko. In addition, US Secretary of State Michael Pompeo announced that the United States had restricted the issuance of visas for certain unnamed individuals “involved in the ICC’s efforts to investigate US personnel.”

The sanctions on Bensouda and Mochochoko implemented a sweeping executive order issued on June 11, 2020 by President Donald Trump. This order declared a national emergency and authorized asset freezes and family entry bans against ICC officials who were identified as being involved in certain activities. Earlier, the Trump administration had repeatedly threatened action to thwart ICC investigations in Afghanistan and Palestine. In a precursor step, in 2019, the Trump administration revoked the prosecutor’s US visa.

The following questions and answers discuss the Trump administration’s unprecedented authorization of a sanctions program aimed at undermining the work of the ICC.
 
Mkuu unawaza kipuuzi Sana.
 
Hahahahah kwamba US ana kinga y ICC ila Urusi yeye hana anatakiwa ashtakiwe. Nimekaa pale, kumkamata Putin ndio itakuwa mwisho wa dunia 😀😀😀 maana kitakachofata ni NUKES tu kurindima kila kona ya Marekani.
 
Do u think and believe that writing in a foreign language will make ur point more meaningful? We andika tu kiswahili utaeleweka mzee. Kutumia lugha ya kigeni ni kuwabagua au kuwaweka pembeni baadhi ya wenzetu humu jukwaani ili wasiweze kuchangia.

Hatujasema ni kiwango gani cha Elimu kinatakiwa ili Hoja iwe na mashiko. Mbona hata PhD holders wanaweza kuongea utumbo?
 
Jiongopeeni tu na mtu ambaye kashikilia mikoba ya Nyuklia zikiwa deployed. Swala la raisi kutangaza vita ni kiasi cha kushika MiC tu kuwajulisha kuwa anaanza kuwatwanga bila huruma.
 
Hao ICC hawana adabu. Kwanza wangewakamata rais wa zamani wa marekani bush na waziri mkuu wa zamani wa uingereza blair kwa uharamia wao huko iraq syria na kwingine duniani. Kama ni marais kushitakiwa marais wa marekani na mawaziri wakuu wa uingereza ndio wangesongamana kwenye mahakama hiyo kujibu mashitaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…