ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Kwa hiyo Bashir sasa hivi yuko ICC?Bashir Sasa hivi yupo wapi?. Huyo Putin aende New York Basi, mbona hata Crimea anaogopa kukanyaga?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Bashir sasa hivi yuko ICC?Bashir Sasa hivi yupo wapi?. Huyo Putin aende New York Basi, mbona hata Crimea anaogopa kukanyaga?.
Al bashir kakanyaga lini?Nitajie kiongozi yeyote aliyepewa warrant ambaye yupo madarakani au hakukanyaga hapo mahakamani.
Kabisa anatakiwa kuwekwa kwenyeGuiness book of recordsKwasasa inawezekana hakuna kiongozi wa ngazi ya juu duniani anayeishi kwa mashaka makubwa kumzidi mzee Putin.
Makombora automatic ya kutungulia ndege ambazo mamlaka ya anga la ulaya hayajaruhusu unafikiri yataiacha salama
Huwezi rusha ndege hata kuingia anga la Tanzania bila kuruhusiwa na mamlaka ya anga ya Tanzania. Kikosi cha Jeshi la anga cha JWTZ wataitungua mara moja kwa Makombora
Warusi wanachokaje vita mzee, vita ndo zimewafanya wawe hapo walipo.. wababe duniani na wanajiweza. Vita, vitaUchaguzi mkuu Russia ni mwakani March 2024
The Hague hawajawahi kamata mtu wananchi na wanajeshi ndio hukamata na kupeleka the Hague
Warusi wenyewe watamkamata na kumpeleka wamechoka vita
Atashikwa kama kuku wa mdondo watu wachukue nafasi yake March 2024 uchaguzi mkuu
Imefanywa calculation kuwa Putin atqjidai ohh hakuna uchaguzi sababu nchi iko vitqni hivyo niendelee!!!
Tamko la mahakama limetolewa at the right time Putin analo
Uko mweupe sana!Kwanini majuzi fighter jets zilitumwa kuescort out Russia airplane iliyoingia Estonia airspace bila taarifa?Kwanini haikudunguliwa?Makombora automatic ya kutungulia ndege ambazo mamlaka ya anga la ulaya hayajaruhusu unafikiri yataiacha salama
Huwezi rusha ndege hata kuingia anga la Tanzania bila kuruhusiwa na mamlaka ya anga ya Tanzania. Kikosi cha Jeshi la anga cha JWTZ wataitungua mara moja kwa Makombora
Itakuwa ilitolewa taarifa kuwa ilipotea niia ndio maana ikawa escorted njia sahihi ndio maana haikutuaUko mweupe sana!Kwanini majuzi fighter jets zilitumwa kuescort out Russia airplane iliyoingia Estonia airspace bila taarifa?Kwanini haikudunguliwa?
Jielimishe kabla ya kupayuka ndio maana unadhalilika na kudharaulika kila siku!Itakuwa ilitolewa taarifa kuwa ilipotea niia ndio maana ikawa escorted njia sahihi ndio maana haikutua
Ndege yaweza potea njia sababu ya mitambo kutofanya kazi vizuri au iliinhia angs la nchi sababu ya tatizo la hali ya hewa kwenye njia yake
Mpaka wa escort.wasishambulie ujue kuwa jeshi la Estonia la anga walikuwa na taarifa zake
Na sio lazima kukubaliana na hio mahakama...... Kama museveni tu hapo aliweza kuwachenjia sembuse PutinSio lazima uwe mwanachama.
Kwamba na wewe ni GT wa JF[emoji2960][emoji2960][emoji2960]Ni shida aisee kwani wamemwondolea kinga. Maana yake kwa sasa Putin hana Immunity tena. Yani CD4 zimeshuka chini kabisa ya kiwango. Ugonjwa wowote, hijack, assassination na watu wake watamwepuka au kumsaliti bila kikwazo, personaly kisaikolojia atakuwa na wasiwasi mkubwa zaidi juu ya uhai wake - Atakosa muda wa kufikiria vita.
Anaweza kupatwa na kiharusi, shinikizo la damu, moyo au kukimbilia mafichoni kwa usalama zaidi n.k.
Siyo Putin tu, hata Al Bashir hawakumkamata wao. Lengo ni kuonesha nchi inaongozwa na mwalifu.Tatizo hawana Meno ya Kumkamata viongozi Kama Putin.
Kwamba Putin na Russia yake ni Waafrika.Wazungu wakikuamulia hakuna rangi utaacha kuona ,
Hebu jisikilize ulichokiandika,Vita part two wanawapa mwanya magenerali wa kirusi kupindua Russia kwa kumkamata kuwa wasipate shida wakimpindua kuwa wampeleke wapi ni the Hague
Hadi hilo tamko kutolewa ina maana assessment ya vita inaonyesha mwelekeo mzuri wa Putin kuchokwa ndani ya Russia kwenye inner circle za chama tawala na jeshi
Km ungelisikiliza maelezo ya Putin usingekuwa na mtazamo huuKwa Urusi itakuwa hivi: Makombora yake ya Nuklia hana hata limoja linalopiga 0 (Zero)Distance. Hii maana yake kama watamfikia say 5km, basi Nuklia yake au Hypersonic haina tena uwezo - haina manufaa kwake.
Ni kama tuseme katika scenario hii kwamba ww una bunduki lakini adui yako kajitahidi mpaka amekufikia na kakukwida shati au kukupiga kabali. Hiyo bunduki yako ujue haina uwezo tena haikusaidii -huwezi kuitumia tena bali hapo ni kupigana kwa ngumi, mweleka, mateke n.k. Hicho ndicho kinaenda kutokea kwa Putin.
Maadui wake US,NATO, EU na Ukraine wamemkaribia mno kiasi kwamba na maadui wengine tayari wapo ndani ya Urussi kwenyewe. Hapo hata yy atajiuliza anatumiaje Nuklia ndani ya nyumba yake mwenyewe kwa mfano? Hapo ni akimbie au akubaliane na matokeo vita iishe.