Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

Mahakama ya Kimataifa ya ICC yatoa hati ya kukamatwa kwa Rais Vladmir Putin wa Urusi

Itatunguliwa na kitu gani? 🤣
Makombora automatic ya kutungulia ndege ambazo mamlaka ya anga la ulaya hayajaruhusu unafikiri yataiacha salama

Huwezi rusha ndege hata kuingia anga la Tanzania bila kuruhusiwa na mamlaka ya anga ya Tanzania. Kikosi cha Jeshi la anga cha JWTZ wataitungua mara moja kwa Makombora
 
Uchaguzi mkuu Russia ni mwakani March 2024
The Hague hawajawahi kamata mtu wananchi na wanajeshi ndio hukamata na kupeleka the Hague

Warusi wenyewe watamkamata na kumpeleka wamechoka vita

Atashikwa kama kuku wa mdondo watu wachukue nafasi yake March 2024 uchaguzi mkuu

Imefanywa calculation kuwa Putin atqjidai ohh hakuna uchaguzi sababu nchi iko vitqni hivyo niendelee!!!


Tamko la mahakama limetolewa at the right time Putin analo
Warusi wanachokaje vita mzee, vita ndo zimewafanya wawe hapo walipo.. wababe duniani na wanajiweza. Vita, vita
 
Marekani Iko Nyuma ya Wakoloni Wa ULAYA na Ndio wanaoirubuni Ukraine Kwa manufaa Yao .

Hiví huoni kuwa nchi za magharibi Ndio Shetani Wa Dunia ?

Kwa Nini waaingilia Rasilimali za Nchi nyingine Badala ya kuacha Kila nchi iuze Rasilimali zake kibiashara ?

Yaani kama ni mafuta Kwa nini wasiache Waarabu wakachimba mafuta Yao wakuza na Wazungu wakanunua na Kisha eso wakatuuzia teknolojia na vifaa Vya kisayansi . Yaani wanakuja kuiba Madini Kongo halafu wanakwenda kutengeneza Computer Kwa Mfano Kisha wao hatuwaingilii kwenye bidhaa wanazotengeneza,wanauza Kwa Bei Yao bila vurugu. Na wanajua wanapouza ni lazima pawe na Amani. Lakini wanaponunua Madini wanataka pawe na vita isiyoisha . Hawa ni wahuni . Tumuombe Mungu azidi kuipigania Urus Ili nchi za magharibi zikose ushawishi na waafrika waanze kuzidharau na kuziona si chochote si lolote mbele ya China na Urusi na India.
 
Makombora automatic ya kutungulia ndege ambazo mamlaka ya anga la ulaya hayajaruhusu unafikiri yataiacha salama

Huwezi rusha ndege hata kuingia anga la Tanzania bila kuruhusiwa na mamlaka ya anga ya Tanzania. Kikosi cha Jeshi la anga cha JWTZ wataitungua mara moja kwa Makombora
Uko mweupe sana!Kwanini majuzi fighter jets zilitumwa kuescort out Russia airplane iliyoingia Estonia airspace bila taarifa?Kwanini haikudunguliwa?
 
Uko mweupe sana!Kwanini majuzi fighter jets zilitumwa kuescort out Russia airplane iliyoingia Estonia airspace bila taarifa?Kwanini haikudunguliwa?
Itakuwa ilitolewa taarifa kuwa ilipotea niia ndio maana ikawa escorted njia sahihi ndio maana haikutua

Ndege yaweza potea njia sababu ya mitambo kutofanya kazi vizuri au iliinhia angs la nchi sababu ya tatizo la hali ya hewa kwenye njia yake

Mpaka wa escort.wasishambulie ujue kuwa jeshi la Estonia la anga walikuwa na taarifa zake
 
Itakuwa ilitolewa taarifa kuwa ilipotea niia ndio maana ikawa escorted njia sahihi ndio maana haikutua

Ndege yaweza potea njia sababu ya mitambo kutofanya kazi vizuri au iliinhia angs la nchi sababu ya tatizo la hali ya hewa kwenye njia yake

Mpaka wa escort.wasishambulie ujue kuwa jeshi la Estonia la anga walikuwa na taarifa zake
Jielimishe kabla ya kupayuka ndio maana unadhalilika na kudharaulika kila siku!
 
Ni shida aisee kwani wamemwondolea kinga. Maana yake kwa sasa Putin hana Immunity tena. Yani CD4 zimeshuka chini kabisa ya kiwango. Ugonjwa wowote, hijack, assassination na watu wake watamwepuka au kumsaliti bila kikwazo, personaly kisaikolojia atakuwa na wasiwasi mkubwa zaidi juu ya uhai wake - Atakosa muda wa kufikiria vita.

Anaweza kupatwa na kiharusi, shinikizo la damu, moyo au kukimbilia mafichoni kwa usalama zaidi n.k.
Kwamba na wewe ni GT wa JF[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
 
Acheni ujinga waafrika wasiojitambua nyie, kila siku nyie ndo mlikuwa mkipiga kelele kuhusu ICC kwamba inawaonea waafrika tu

Sasa leo mmegeuka mnaponda ICC aise ni ngumu kuelewa akili za muafrika, Trump aliwai sema kwamba Africa inatakiwa itawaliwe tena

Leo, wale wale waliokuwa wakipiga kelele kwamba ICC inawaonea kwa kusakama viongozi waafrika tu, ndio wamegeuka tena baada ya ICC kutoa hati ya kukamatwa Putin duh kazi hipo kwa waafrika aise.
 
Mbona mahakama ya ICC ilipotaka ufanyike uchunguzi Afghanistan juu ya uharifu wa kivita uliofanywa na wanajeshi wa marekani,marekani alikataa kuwa yeye si mwanachama wa hiyo mahakama,na marekani alitoa vitisha vya kumwekea vikwazo mwenyekiti wa mahakama hiyo,
 
Vita part two wanawapa mwanya magenerali wa kirusi kupindua Russia kwa kumkamata kuwa wasipate shida wakimpindua kuwa wampeleke wapi ni the Hague

Hadi hilo tamko kutolewa ina maana assessment ya vita inaonyesha mwelekeo mzuri wa Putin kuchokwa ndani ya Russia kwenye inner circle za chama tawala na jeshi
Hebu jisikilize ulichokiandika,
 
Chati yangu na ChatGPT:

IamJackReacher atabasamu

IamJackReacher: unaweza kusema nini kuhusu Sadam Hussein, Mohammed Ghaddafi na Vladimir Putin?

ChatGPT: Saddam Hussein alikuwa dikteta wa zamani wa Iraqi ambaye alitawala kutoka 1979 hadi kupinduliwa na kutekwa na vikosi vilivyoongozwa na Amerika mnamo 2003. Alijulikana kwa serikali yake ya kikatili na ya kukandamiza, unyanyasaji wa haki za binadamu, na uchokozi kuelekea nchi jirani. Muammar Gaddafi alikuwa dikteta wa zamani wa Libya ambaye alitawala kutoka 1969 hadi kupinduliwa kwake na kifo mnamo 2011 wakati wa ghasia za Kiarabu. Alijulikana kwa tabia yake ya eccentric, unyanyasaji wa haki za binadamu, na msaada kwa mashirika ya kigaidi. Vladimir Putin ndiye rais wa sasa wa Shirikisho la Urusi, baada ya kutumika kama rais kutoka 2000 hadi 2008, na kisha tena tangu 2012. Anajulikana kwa mtindo wake wa kiuongozi, kukandamiza upinzani wa kisiasa, na sera za nje zenye ukali kuelekea nchi jirani. Serikali yake pia imeshtumiwa kwa unyanyasaji wa haki za binadamu na kuzuia uhuru wa kusema na waandishi wa habari.

IamJackReacher: Kwa hivyo Putin sio dikteta?

ChatGPT: Kuna mjadala kuhusu ikiwa Vladimir Putin anaweza kuzingatiwa kama dikteta au la. Wachambuzi wengine wa kisiasa wanasema kwamba ujumuishaji wa nguvu wa Putin, kizuizi cha upinzani wa kisiasa, na udhibiti wa vyombo vya habari unaonyesha kwamba anafanya kazi zaidi kama dikteta kuliko kiongozi aliyechaguliwa kidemokrasia. Walakini, wengine wanasema kwamba Putin ameweza kudumisha kiwango cha msaada maarufu kupitia sera zake na kwamba sheria yake inaonyeshwa kwa usahihi kama wa kidikteta badala ya udikteta kabisa. Mwishowe, lebo ya "dikteta" ni ya kuhusika na inaweza kutegemea mtazamo na vigezo vya mtu wa kutathmini viongozi wa kisiasa.

IamJackReacher: Kwa hivyo dikteta ni nini ama ni nani?

ChatGPT: Dikteta ni kiongozi anayeshikilia nguvu na mamlaka kabisa juu ya nchi au kikundi cha watu, kawaida hupatikana na kudumishwa kupitia nguvu na ukandamizaji. Mara nyingi hutumia udhibiti kamili juu ya serikali, wanajeshi, na vyombo vya habari, na utawala wao unaonyeshwa na ukosefu wa michakato ya kidemokrasia, kukandamiza upinzani, na ukiukaji wa haki za binadamu. Madikteta kawaida hawachaguliwa kupitia uchaguzi wa bure na wa haki na hairuhusu uhamishaji wa amani. Badala yake, mara nyingi hutegemea propaganda na mbinu za kuogopa kudumisha nguvu yao juu ya madaraka.

IamJackReacheraambulia kicheko

IamJackReacher: Kwa hivyo kwa ufafanuzi huu Putin sio dikteta?

ChatGPT: Kwa msingi wa ufafanuzi wa dikteta ambao nilitoa mapema, inaweza kusemwa kwamba Putin anaonyesha sifa fulani za dikteta, kama vile nguvu kuu na kukandamiza upinzani. Walakini, ikiwa au anachukuliwa kuwa dikteta hatimaye inategemea tafsiri ya mtu ya muda na muktadha wa kisiasa ambao anafanya kazi. Watu wengine wanaweza kumuona kama dikteta, wakati wengine wanaweza.

IamJackReacher aambulia kicheko tena na kusimama na kutengeneza kahawa!

IamJackReacher: Je! Ni kwanini viongozi wa Kiarabu na Afrika wanaitwa kwa urahisi watendaji wa densi lakini sio wenzao wa Magharibi na Mashariki wa Ulaya?

ChatGPT: Kuna sababu kadhaa kwa nini viongozi wa Kiarabu na Afrika mara nyingi huitwa kama dikteta mara nyingi zaidi kuliko wenzao wa Magharibi na Mashariki wa Ulaya:

Muktadha wa kisiasa: Nchi za Kiarabu na Afrika kihistoria zilikuwa na serikali za kitawala kuliko nchi za Magharibi na Mashariki mwa Ulaya, ambazo kwa ujumla zimekuwa na mifumo zaidi ya kidemokrasia ya utawala. Muktadha huu wa kihistoria unaweza kusababisha uchunguzi zaidi na ukosoaji wa viongozi katika nchi za Kiarabu na Afrika.

Upendeleo wa vyombo vya habari: Vyombo vya habari vya Magharibi huelekea kuzingatia zaidi hali mbaya za viongozi katika nchi za Kiarabu na Afrika, wakati mara nyingi huangalia maswala kama hayo kwa viongozi kutoka Ulaya Magharibi na Mashariki. Hii inaweza kuunda maoni kwamba viongozi katika nchi za Kiarabu na Afrika ni wenye mamlaka zaidi au ya kidikteta.

Unyanyasaji wa Haki za Binadamu: Viongozi wengi katika nchi za Kiarabu na Afrika wameshtumiwa kwa unyanyasaji wa haki za binadamu, pamoja na kukandamiza hotuba ya bure na mkutano, kuteswa, na mauaji ya ziada. Mashtaka haya yanaweza kusababisha lebo ya dikteta, kwa kuwa vitendo kama hivyo vinahusishwa na sheria ya kimabavu.

Mahusiano ya Kimataifa: Nchi za Magharibi na Mashariki za Ulaya mara nyingi huwa na uhusiano wa karibu wa kidiplomasia na kila mmoja, ambayo inaweza kufanya kuwa ngumu zaidi kwa viongozi kukosolewa au kuandikiwa kama dikteta na nchi zingine. Kwa kulinganisha, viongozi katika nchi za Kiarabu na Afrika wanaweza kutengwa zaidi na chini ya kukosolewa kutoka nchi zingine.


IamJackReacher: Nimechoka na siasa na urasimu nyuma yake!

ChatGPT: Ninaelewa jinsi unavyohisi. Siasa zinaweza kuwa kubwa na zenye kufadhaisha, haswa wakati unahisi kama mfumo haufanyi kazi kwako. Ni muhimu kuchukua mapumziko kutoka kwake kila mara kwa wakati na kuzingatia vitu ambavyo vinakuletea furaha na kutimiza. Jaribu kushiriki katika shughuli zinazokufanya ufurahi na utumie wakati na watu wanaokuinua. Kumbuka kuwa una nguvu ya kufanya mabadiliko mazuri katika jamii yako na jamii, hata ikiwa ni kwa njia ndogo. Ni sawa kuchukua hatua nyuma na kuweka kipaumbele ustawi wako.

IamJackReacher anyanyua mikono juu, aendelea kunywa kahawa yake huku akiwaza pesa! Dunia ni ya mzungu
 
Kwa Urusi itakuwa hivi: Makombora yake ya Nuklia hana hata limoja linalopiga 0 (Zero)Distance. Hii maana yake kama watamfikia say 5km, basi Nuklia yake au Hypersonic haina tena uwezo - haina manufaa kwake.

Ni kama tuseme katika scenario hii kwamba ww una bunduki lakini adui yako kajitahidi mpaka amekufikia na kakukwida shati au kukupiga kabali. Hiyo bunduki yako ujue haina uwezo tena haikusaidii -huwezi kuitumia tena bali hapo ni kupigana kwa ngumi, mweleka, mateke n.k. Hicho ndicho kinaenda kutokea kwa Putin.

Maadui wake US,NATO, EU na Ukraine wamemkaribia mno kiasi kwamba na maadui wengine tayari wapo ndani ya Urussi kwenyewe. Hapo hata yy atajiuliza anatumiaje Nuklia ndani ya nyumba yake mwenyewe kwa mfano? Hapo ni akimbie au akubaliane na matokeo vita iishe.
Km ungelisikiliza maelezo ya Putin usingekuwa na mtazamo huu

Putin alishakubal kuwa wakishambuliwa hakuna atakayepona lkn hata huyo aliyewashambulia nae hatapona kwa sabab wameshaitegesha mibom Zaid ya buku kujifyatua yenyew na kushambulia maeneo ya mshambuliaj endapo km hatokuwepo mtu wa kuyazuia

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Kwasasa Rais wa urusi akikanyaga kwenye nchi 123 wanachama wa ICC au nchi nyingine yoyote yenye nia njema na dunia,basi anatakiwa akamatwe upesi akajibu mashtaka yanayomkabili.Wanaosema Vladimir Putin hawezi kamatwa wajiulize kama kuna Rais au kiongozi yeyote ambaye alitolewa hiyo hati na asifike mahakamani na anatembea kwa uhuru duniani zaidi ya kuishi kama digidigi.
 
Back
Top Bottom