tatizo unamuona myahudi kama mungu wako ndio mnapofeli hapo, myahudi hatotambuliwa na hataishi kwa amani maisha yake yote kama unavyoona kila siku anahangaika tu na kuishi kama digi digiDharau na kejeli kwa watu wanaopingana na wewe pamoja na wenzio tumezizoea na hazifichi ukweli kwamba Myahudi is not done na magaidi kabisa.
It is either mtambue haki ya Mayahudi kuishi au mfe.
Wa kumlaumu ni yule mzee aliyewadanganya kwamba alikwenda mbinguni na punda!
Mahakama imekaa kimchongo. Mwendesha mashtaka mkuu wa hiyo mahakama uchwara ni Karim Khan unategemea atende haki kwa myahudi?!Ndio maana warrant pia imetolewa kwa kiongozi wa Hamas akamatwe au ambacho hujaelewa ni nini?
Mwaka jana Mahakama hiyo ilitangaza Putin akamatwe. Mpaka kesho Putin anatamba tu.Wakuu,
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imetoa hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israeli, Benjamin Netanyahu, na waziri wa zamani wa ulinzi, Yoav Gallant, kwa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita.
Uamuzi huu unamaanisha kwamba nchi 124 wanachama wa ICC zinapaswa kuwakamata Netanyahu na Gallant watakapokanyaga katika maeneo yao.
Soma pia: Pamoja na “Arrest Warrant” ya Mahakama ya ICC, Putin atua Mongolia kibabe
Mahakama hiyo pia ilidai kuwa walikusudia na walijua kwamba Netanyahu na Gallav waliwanyima raia wa Gaza chakula, maji, dawa, vifaa vya matibabu, mafuta, na umeme kwa makusudi.
Netanyahu alikataa madai hayo akiyaita “ya kipuuzi na ya uwongo” na akasema ni “upotoshaji.”
Israel pia imepinga mamlaka ya ICC kwa kusema kuwa nchi nyingine za kidemokrasia hazijawahi kutendewa kwa njia ya upendeleo mbaya kama hiyo, huku ikisisitiza kwamba inaheshimu utawala wa sheria.
Aidha, ICC pia imetoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa Hamas, Mohammed Deif, kwa makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na uhalifu wa kivita.
Hata hivyo, Israel ilidai Agosti kwamba ilimuua Deif katika shambulio la anga lililofanyika Gaza mwezi mmoja kabla.
Mahakama imekaa kimchongo. Mwendesha mashtaka mkuu wa hiyo mahakama uchwara ni Karim Khan unategemea atende haki kwa myahudi?!
Kwa kosa gani?! Kulinda nchi yake dhidi ya kitisho dhidi ya ugaidi?
Kwa kosa gani?! Kulinda nchi yake dhidi ya kitisho dhidi ya ugaidi?
Wayahudi ni watu wa agano la kale sheikh... wale wanafuata huu msemo "an eye for an eye"Sasa mchungaji yesu si aliwaambia mtu akikupiga Kofi shavu la kushoto
We mgeuzie na lakulia ,,
Mbona hamfati maandiko ya kitabu chenu .,
Wayahudi ni watu wa agano la kale sheikh... wale wanafuata huu msemo "an eye for an eye"
Yani unaangalia mgogoro huu tokea October 7? Tukisema tuchukue idadi nzima ya vifo si kila mwaka Israel inaua wapalestina zaidi ya 1000!Okay sawa.
Lakini Israel kwenye suala hili ilianza kuchokozwa.
Endapo kama mashambulizi kwa Waisraeli ya 7 Oktoba, 2023 yasingefanyika naamini kwa dhati kabisa balaa hilo kwa Wapalestina lisingetokea
Ivi wewe unaongea na kuandika ukiwa duniani gani? Hamas hawakukurupuka tu hiyo October 7, Israel walikuwa wanawanyanyasa na kuwapiga risasi waislam wa palestine miaka nenda miaka rudi pale West bank eneo la palestine, Masjid Al Aqsa waislam wakipigwa ndani ya Ibada na kuuliwa lakini pia walikuwa hawana uhuru waislam kuingia katika nyumba hii ya historia ya Ibada kufanya shughuli za kiibada.Okay sawa.
Lakini Israel kwenye suala hili ilianza kuchokozwa.
Endapo kama mashambulizi kwa Waisraeli ya 7 Oktoba, 2023 yasingefanyika naamini kwa dhati kabisa balaa hilo kwa Wapalestina lisingetokea
Bibi gani tena, ICC ni taasisi sio bibi, jifunze mikataba na sheria za kimataifa, ni wao nchi wanachama waliungana kwa pamoja na kuanzisha hiyo mahakama ili kuchunga nidhamu kwa madikteta duniani wasijione wana nguvu na kuanza kuua raia wasio na hatia kama kukuYaani huyu Bibi asije hapa bongo ...namkamata na kumpeleka ubalozi wa Irani ,.
Mwanasheria muislamu vipi tena, mbona kichwani kwako ni kweupe kiasi hicho, ICC ni taasisi, jifunze mikataba na sheria za kimataifa, ni wao nchi wanachama waliungana kwa pamoja na kuanzisha hiyo mahakama ili kuchunga nidhamu kwa madikteta duniani wasijione wana nguvu na kuanza kuua raia wasio na hatia kama kukuYule mwasheria muislamu wa ICC atakutana na jambo soon
USSR
Sasa kama hawana uwezo ni toothless, akanyage hizo nchi wanachama otherwise ataishia marekani tu na kurudi kwa wasennge wenzakeICC is a toothless Lion; hawana jeuri ya kumkamata Netanyahu (Bibi) kama ambavyo hawana uwezo wa kumkamata Putin
FYI: Ugomvi uliopo kati ya Israel na Palestina/HAMAS siyo Mgogoro wa Kidini, bali ni Mgogoro wa Ardhi.Ivi wewe unaongea na kuandika ukiwa duniani gani? Hamas hawakukurupuka tu hiyo October 7, Israel walikuwa wanawanyanyasa na kuwapiga risasi waislam wa palestine miaka nenda miaka rudi pale West bank eneo la palestine, Masjid Al Aqsa waislam wakipigwa ndani ya Ibada na kuuliwa lakini pia walikuwa hawana uhuru waislam kuingia katika nyumba hii ya historia ya Ibada kufanya shughuli za kiibada.
Walichofanya Hamas ni kujitoa muhanga liwalo na liwe lakini wamechoka maonevu na udhalilishaji kutoka kwa mazayuni na mayahudi. usidandie gari kwa mbele
Huyo karim khan ni vibaraka wake wanachuki dhidi ya wayahudiKumbe wewe ni kilaza , hata huelewi mahakama inavyoendeshwa , Ulitaka pale liwekwe senge la kiyahudi??
Wacha Bibi yako ajifiche mapangoni na kujiwekea bullet proof mpaka makalioni
Sijui ni kwanini unatetea mayahudi, wakiristo wameuliwa pia kinyama na makanisa kupigwa moto, mayahudi si wakiristo ni wa Judaysim, Hamas hawakukurupuka tu hiyo October 7, Israel walikuwa wanawanyanyasa na kuwapiga risasi waislam wa palestine miaka nenda miaka rudi pale West bank eneo la palestine, Masjid Al Aqsa waislam wakipigwa ndani ya Ibada na kuuliwa lakini pia walikuwa hawana uhuru waislam kuingia katika nyumba hii ya historia ya Ibada kufanya shughuli za kiibada.Mahakama ya kipuuzi. Huwezi kutoa hati ya mashtaka kwa kiongozi aliengoza kwa mafanikio makubwa operation tokomeza ugaidi.
Kumbuka hamas ndio walianza ugaidi Oct 7
nchi 124 nchi wanachama, sasa kama huamini mwambie Netanyahu aende pale South Africa aoneKwanza nchi gani ina uwezo wa kumkamata