Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Unajua hawa CHADEMA ni mazuzu! Eti kwa vile ni kiongozi wa chama cha upinzani ukikosea usiguswe! Uliona wapi? Acha wawashikishe adabu!Kwamba wanasiasa hawapaswi kushtakiwa wala kuadhibiwa wakikosea. Haki itendeka Kama hawana hatia waachiwe na kama kweli walitenda makosa hayo waadhibiwe kama Watanzania wengine wanavyoadhibiwa wakikosea!
Kwenda zako! Waamie kwenye nchi hizo zisizofuata sheria!Kuna watu wanafurahia. Wakidhani wanamkomoa mbowe. Wasichokijua ni kwamba hukumu hii Inaenda kuchafua nchi yetu hko nje. Hata makaburu walifanya ujinga huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Every day...every....hour you are faithful GodKila wakati, Mungu ni MWEMA.
Polis kwa kuvunja sheria tushawazoea...wapinzani wapole mnoWakati Hakimu Mkazi Mfawidhi, Thomas Simba wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akisoma hukumu ya viongozi 12 wa Cahdema na mmoja wa CCM (Mashinji) wanaokabiliwa na mashktaka ya uchochezi, Jeshi la Polisi limetumia nguvu kuwafurusha wafuasi wa Chadema waliokuwa wamekusanyika mahakamani hapo kufuatilia mwenendo wa kesi hiyo.
Polisi waliagiza wafuasi wote wa Chadema kuondoka kwenye viunga vya mahakama hiyo, lakini waliendelea kukaa wakidai hawajavunja sheria yoyote kwenda kusikiliza hukumu ya viongozi wao. Hata hivyo polisi walitoa amri ya kutawanyika kwa hiari vinginevyo watatumia nguvu. Wafuasi hao walikataa kutawanyika na kuimba kwa hisia "Mkitaka mtuue, mtuue"
_
Baadae polisi wenye silaha za moto, wakisindikizwa na mbwa waliwavamia wafuasi hao kwa kipigo na kuwatawanya wakati hukumu ikiendelea kusomwa ndani ya mahamkama hiyo.!
Tujulisheni kinachoendeleaMahakama ya Kisutu leo Machi10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi Mahakamani hapo, Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, pia John Mnyika, Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko, Heche, Msigwa na Mashinji.
Katika kesi hiyo inayosikilizwa na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, vigogo hao wanakabiliwa na mashtaka 13, wakituhumiwa kwa uchochezi, katika kesi iliyoanza kusilikizwa Machi 7, 2018.
Washtakiwa hao wanadaiwa kuwa kati ya Februari Mosi na 16, mwaka 2018, wakiwa Kinondoni jijini Dar es Salaam, kwa pamoja walikula njama na wengine ambao hawapo mahakamani kwa kutenda kosa la jinai na kuendelea na mkusanyiko isivyo halali na kusababisha chuki na uchochezi wa uasi.
UPDATE
4:30 Asubuhi : Hukumu yaahirishwa mpaka saa 7:30 mchana
Awali kesi hiyo ilipangwa kusomwa saa 4:30 wakati washtakiwa wakiwa ndani ya ukumbi, walifahamishwa kupitia kwa Wakili wao Peter Kibatala kuwa muda umesogezwa hadi saa 7:30 mchana.
7:30 Mchana : Hukumu ya kesi imeanza
Hukumu hiyo inasomwa kwenye Mahakama ya wazi na Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba. Ulinzi umeimarishwa ndani na nje ya Mahakama.
Idadi kubwa ya wananchi na wafuasi wa chama hicho wamezuiwa kuingia mahakamani, kutakiwa kutoka nje. Baadhi yao wamesikika wakiimba nyimbo za kulituhumu Jeshi la Polisi kuwa CCM.
View attachment 1383035
Video: Taswira ya hali ilivyo ndani na nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
[emoji16][emoji16][emoji16]Polis kwa kuvunja sheria tushawazoea...wapinzani wapole mno
Huku kujidanganya hukuuuuuuu......Ni wazi macho ma masikio ya watanzania yapo kisutu kwa sasa. kitakchoamriwa ama kitatoa taswira chanya ama hasi kwa taifa letu ngazi za kimataifa.
Uzi ume stuck huu. tupatie updates mkuuMahakama ya Kisutu leo Machi10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi Mahakamani hapo, Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, pia John Mnyika, Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko, Heche, Msigwa na Mashinji.
Katika kesi hiyo inayosikilizwa na Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, vigogo hao wanakabiliwa na mashtaka 13, wakituhumiwa kwa uchochezi, katika kesi iliyoanza kusilikizwa Machi 7, 2018.
Washtakiwa hao wanadaiwa kuwa kati ya Februari Mosi na 16, mwaka 2018, wakiwa Kinondoni jijini Dar es Salaam, kwa pamoja walikula njama na wengine ambao hawapo mahakamani kwa kutenda kosa la jinai na kuendelea na mkusanyiko isivyo halali na kusababisha chuki na uchochezi wa uasi.
UPDATE
4:30 Asubuhi : Hukumu yaahirishwa mpaka saa 7:30 mchana
Awali kesi hiyo ilipangwa kusomwa saa 4:30 wakati washtakiwa wakiwa ndani ya ukumbi, walifahamishwa kupitia kwa Wakili wao Peter Kibatala kuwa muda umesogezwa hadi saa 7:30 mchana.
7:30 Mchana : Hukumu ya kesi imeanza
Hukumu hiyo inasomwa kwenye Mahakama ya wazi na Hakimu Mkazi Mkuu Thomas Simba. Ulinzi umeimarishwa ndani na nje ya Mahakama.
Idadi kubwa ya wananchi na wafuasi wa chama hicho wamezuiwa kuingia mahakamani, kutakiwa kutoka nje. Waliamua kukaa chini karibu na mlango mkuu wa kuingia kwenye jengo la Mahakama mpaka Polisi walipowafukuza kwa vitisho. Baadhi yao wamesikika wakiimba nyimbo za kulituhumu Jeshi la Polisi kuwa CCM.
View attachment 1383035
Video: Taswira ya hali ilivyo ndani na nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
Haaaaa π π ingekuwa hivyo kweli hata mi ningekuwa tayariMbona updates zinachelewa?Hapa niko standby kuingia barabarani!
Naona mleta post nae ka mute au wamemtimua nini[emoji2]Wakuu nini kinaendelea mliopo hapo au ndo mmefurushwa
Umefatilia mwenendo wa kesi, umesikiliza mashahidi, umesikiliza utetezi, au umeamua kujitia ujuaji.Nyie ni wanademockrasia acheni kuishinikiza Mahakama iamue mnavyotaka. Subirini Hukumu na maamuzi yatakayotoka yaheshimiwe na asiyeridhika utaratibu wa kisheria ufuatwe!hakuna mwenye kosa ni kuwaonea tu,,,,... persecution
Kwani wanashtakiwa kwa kosa la mauaji!? Huoni unavishindwa kutumia akiri kwenye vitu vidogo bob! Unatoka povu inawezekana hata charges against them huzijui! Poor you!Wamemuua Akwilina Pimbi kweli wewe.
True, Hakika hii nchi sijui wananchi tutaamka lini tuingie barabarani.Kuna watu wanafurahia. Wakidhani wanamkomoa mbowe. Wasichokijua ni kwamba hukumu hii Inaenda kuchafua nchi yetu hko nje. Hata makaburu walifanya ujinga huu
Sent using Jamii Forums mobile app