Nchi hii imevamiwa na kiongozi mwovu, asie haya na shetani mwenye wazimu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahakama isiyokuwa huru inaweza ku serve vipi justice?Umefatilia mwenendo wa kesi, umesikiliza mashahidi, umesikiliza utetezi, au umeamua kujitia ujuaji.Nyie ni wanademockrasia acheni kuishinikiza Mahakama iamue mnavyotaka. Subirini Hukumu na maamuzi yatakayotoka yaheshimiwe na asiyeridhika utaratibu wa kisheria ufuatwe!
Boss angalia tumeanzia wapi, halafu yeye kaandika nimetoa maoni yangu halafu angalia alichocomment, so what kwamba nyie ni mabingwa wa kutukana ndivyonavyofanya ili kuwa offend wanaokuwa na mitazamo tofauti na yenu au!Nini faida ya kutukanana humu jamani,?
Kesi ya kidhalimu sana hii,Ngoja tuone mwisho wake,Tunawaombea viongozi wa Chadema ushindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea kwa hasira utasema umeongezewa mshahara pale lumumbahawa kenge waliopo nje wanapoteza muda kwanza ukiwatizama ni aina ya watu waajabu ajabu hv ambao kimsingi hata uhakika wa kumiliki nyumba ni mdogo mno...Kamata wote weka segerea, mtu unashndwa kufanya kazi za msingi upate kipate unaenda kubishana na POLISI, hakuna wake wala waume na watoto wa hao viongozi hapo mahakamani nyie ndio mnajifanya wafia chama....
Mahakama isiyokuwa huru inaweza ku serve vipi justice?
Kabla ya yote we ni chama gani kwanzaBoss angalia tumeanzia wapi, halafu yeye kaandika nimetoa maoni yangu halafu angalia alichocomment, so what kwamba nyie ni mabingwa wa kutukana ndivyonavyofanya ili kuwa offend wanaokuwa na mitazamo tofauti na yenu au!
Haaaaa unataka wafungwe??!¡jamani huu uzi toka nianze kuutembelea khaaa..., vipi jamani wameshafungwa au bado..!?
Tupo tayari kuingia kwa barabara
Nape: unajua huyu ni mshamba sana.Nchi hii imevamiwa na kiongozi mwovu, asie haya na shetani mwenye wazimu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kufikiri zaidi ili upate jibu la kinachokufanya ukorome. Kauli ilishatoka kuwa upinzani unafutwa 2020, umekuwa ukisikia kuwa vyombo vyetu vya kutenda haki siku hizi hufanya kazi kwa kupokea amri toka juu lakini pia hivi karibuni umesikia kuwa walio katika dola hutumia dola kubaki katika dola. Katika mazingira hayo kwa akili yako unadhani wenye akili watakuwa upande upi kati ya wapinzani na serikali?Umeshawahi kwenda Mahakamani, Ni watu wangapi wanapata haki Mahakamani kila siku, hiyo conclussion kuwa Mahakama imeifikia kwa kutumia vigezo vipi, ili iwe huru ni pale wale unaowapenda wanaposhinda tu au!? Mahakama inafanya mambo yake hadharani, Hukumu itatoka, either watakutwa na hatia au bila hatia, then ukishaona hiyo hukumu ndo unaweza kujudge.
Acheni kuwapa Wanasiasa Umungu mtu, wakikosea nao waadhibiwe Kama wananchi wengine wanavyoadhibiwa!
Wewe sio Mtanzania bana hamna mzalendo mwenye akili kama zako. Rudi Rwanda maana Meko tutamfurumusha siku sio nyingi mrudi kwenu.Umeshawahi kwenda Mahakamani, Ni watu wangapi wanapata haki Mahakamani kila siku, hiyo conclussion kuwa Mahakama imeifikia kwa kutumia vigezo vipi, ili iwe huru ni pale wale unaowapenda wanaposhinda tu au!? Mahakama inafanya mambo yake hadharani, Hukumu itatoka, either watakutwa na hatia au bila hatia, then ukishaona hiyo hukumu ndo unaweza kujudge.
Acheni kuwapa Wanasiasa Umungu mtu, wakikosea nao waadhibiwe Kama wananchi wengine wanavyoadhibiwa!
kosa lao lilikuwa ni lipi?Unajua hawa CHADEMA ni mazuzu! Eti kwa vile ni kiongozi wa chama cha upinzani ukikosea usiguswe! Uliona wapi? Acha wawashikishe adabu!