Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Nchi hii imevamiwa na kiongozi mwovu, asie haya na shetani mwenye wazimu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Na hii ni hatari kwa nchi, maana kiongozi anayebariki na kuongoza vitendo halifu dhidi ya upinzani akimaliza wapinzani atawageukia wenzake ndani ya serikali yake na chama chake cha CCM Mpya. Hakika nchi imefika pabaya. The one who rules without consent away, will do the same at home.
 
Umefatilia mwenendo wa kesi, umesikiliza mashahidi, umesikiliza utetezi, au umeamua kujitia ujuaji.Nyie ni wanademockrasia acheni kuishinikiza Mahakama iamue mnavyotaka. Subirini Hukumu na maamuzi yatakayotoka yaheshimiwe na asiyeridhika utaratibu wa kisheria ufuatwe!
Mahakama isiyokuwa huru inaweza ku serve vipi justice?
 
Nini faida ya kutukanana humu jamani,?
Boss angalia tumeanzia wapi, halafu yeye kaandika nimetoa maoni yangu halafu angalia alichocomment, so what kwamba nyie ni mabingwa wa kutukana ndivyonavyofanya ili kuwa offend wanaokuwa na mitazamo tofauti na yenu au!
 
hawa kenge waliopo nje wanapoteza muda kwanza ukiwatizama ni aina ya watu waajabu ajabu hv ambao kimsingi hata uhakika wa kumiliki nyumba ni mdogo mno...Kamata wote weka segerea, mtu unashndwa kufanya kazi za msingi upate kipate unaenda kubishana na POLISI, hakuna wake wala waume na watoto wa hao viongozi hapo mahakamani nyie ndio mnajifanya wafia chama....
Unaongea kwa hasira utasema umeongezewa mshahara pale lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh , kimenuka, bora Al-Shabab waje na Tz watie adabu kidogo
 
Mahakama isiyokuwa huru inaweza ku serve vipi justice?

Umeshawahi kwenda Mahakamani, Ni watu wangapi wanapata haki Mahakamani kila siku, hiyo conclussion kuwa Mahakama imeifikia kwa kutumia vigezo vipi, ili iwe huru ni pale wale unaowapenda wanaposhinda tu au!?

Mahakama inafanya mambo yake hadharani, Hukumu itatoka, either watakutwa na hatia au bila hatia, then ukishaona hiyo hukumu ndo unaweza kujudge.

Acheni kuwapa Wanasiasa Umungu mtu, wakikosea nao waadhibiwe Kama wananchi wengine wanavyoadhibiwa!
 
Boss angalia tumeanzia wapi, halafu yeye kaandika nimetoa maoni yangu halafu angalia alichocomment, so what kwamba nyie ni mabingwa wa kutukana ndivyonavyofanya ili kuwa offend wanaokuwa na mitazamo tofauti na yenu au!
Kabla ya yote we ni chama gani kwanza
 
Umeshawahi kwenda Mahakamani, Ni watu wangapi wanapata haki Mahakamani kila siku, hiyo conclussion kuwa Mahakama imeifikia kwa kutumia vigezo vipi, ili iwe huru ni pale wale unaowapenda wanaposhinda tu au!? Mahakama inafanya mambo yake hadharani, Hukumu itatoka, either watakutwa na hatia au bila hatia, then ukishaona hiyo hukumu ndo unaweza kujudge.
Acheni kuwapa Wanasiasa Umungu mtu, wakikosea nao waadhibiwe Kama wananchi wengine wanavyoadhibiwa!
Jaribu kufikiri zaidi ili upate jibu la kinachokufanya ukorome. Kauli ilishatoka kuwa upinzani unafutwa 2020, umekuwa ukisikia kuwa vyombo vyetu vya kutenda haki siku hizi hufanya kazi kwa kupokea amri toka juu lakini pia hivi karibuni umesikia kuwa walio katika dola hutumia dola kubaki katika dola. Katika mazingira hayo kwa akili yako unadhani wenye akili watakuwa upande upi kati ya wapinzani na serikali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshawahi kwenda Mahakamani, Ni watu wangapi wanapata haki Mahakamani kila siku, hiyo conclussion kuwa Mahakama imeifikia kwa kutumia vigezo vipi, ili iwe huru ni pale wale unaowapenda wanaposhinda tu au!? Mahakama inafanya mambo yake hadharani, Hukumu itatoka, either watakutwa na hatia au bila hatia, then ukishaona hiyo hukumu ndo unaweza kujudge.
Acheni kuwapa Wanasiasa Umungu mtu, wakikosea nao waadhibiwe Kama wananchi wengine wanavyoadhibiwa!
Wewe sio Mtanzania bana hamna mzalendo mwenye akili kama zako. Rudi Rwanda maana Meko tutamfurumusha siku sio nyingi mrudi kwenu.

Kama unaweza ku turn blind eye kwa yanayoendelea, i doubt your sanity man. No man, i rest my case here man.
 
Back
Top Bottom