Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

aliyesababisha ndiye mwenye kosa kubwa bila kuandamana mbowe na genge lake mauaji yangetoka wapi
Nafikiri hata sisi upande wa upinzani tuwe tunawasikiliza polisi wakisema hakuna mkutano tusilazimishe kupimana ubavu.
 
Kuna ndugu wanafurahi hawa viongozi kufungwa ala hawajui kitendo hiki inawaweza sababisha watu kukiwasha nchi nzima mambo mengine huanza hivi kama mzaa et mungu atuepushe kwa ili
Aisee inabidi tu hamna namna, kiukweli tumechoka, liwalo na liwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…