secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,843
- 8,637
Mbona ndefu sana!Bado hukumu inasomwa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ndefu sana!Bado hukumu inasomwa mkuu
Haki ikitendeka wanaenda ndani huruma ikitendeka wataachiwa huru ni suala la muda tu.Haki itendeke.....
Nafikiri hata sisi upande wa upinzani tuwe tunawasikiliza polisi wakisema hakuna mkutano tusilazimishe kupimana ubavu.aliyesababisha ndiye mwenye kosa kubwa bila kuandamana mbowe na genge lake mauaji yangetoka wapi
Akila mvua Uchumi utapanda au kipato chako kitaongezeka.Liwe lisiwe lazima Mbowe ale mvua hapo wengine watapata unafuu kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ndugu wanafurahi hawa viongozi kufungwa ala hawajui kitendo hiki inawaweza sababisha watu kukiwasha nchi nzima mambo mengine huanza hivi kama mzaha eh, Mungu atuepushe kwa ili.True
Huyu kiongozi wetu wa sasa sio kabisa, kaharibu sana hii nchi kila mahali
Milele aminaTumsifu yesu kristoo
Aisee inabidi tu hamna namna, kiukweli tumechoka, liwalo na liweKuna ndugu wanafurahi hawa viongozi kufungwa ala hawajui kitendo hiki inawaweza sababisha watu kukiwasha nchi nzima mambo mengine huanza hivi kama mzaa et mungu atuepushe kwa ili
Video : Maalim Seif akiingia Mahakamani
Si watakuwa segerea?
How did you know that?The US and allies are closely monitoring this judgment
Jr[emoji769]
Ameen..Tumsifu yesu kristoo
Kuna ndugu wanafurahi hawa viongozi kufungwa ala hawajui kitendo hiki inawaweza sababisha watu kukiwasha nchi nzima mambo mengine huanza hivi kama mzaa et mungu atuepushe kwa ili
Hakimu ameanzia kwenye kurejea ushahidi na uteteziMbona ndefu sana!
Sogea na wewe mpenda haki viunga vya mahakama mkuu...Wewe ni MSUKULE WA CCM tu huna lolote! Haki inapiganiwa na Watu wote wapenda HAKI.....!
Who the hell is US? Wao mbona mpaka sasa wanamsaka Michael Snowden kwa kutoa hadharani siri za serikali? Za kuambiwa ongeza na za kwako!The US and allies are closely monitoring this judgment
Jr[emoji769]
Upo mahakamani kiongozi?Hakimu ameanzia kwenye kurejea ushahidi na utetezi