Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Kuna ndugu wanafurahi hawa viongozi kufungwa ala hawajui kitendo hiki inawaweza sababisha watu kukiwasha nchi nzima mambo mengine huanza hivi kama mzaa et mungu atuepushe kwa ili
Kukiwasha nchi nzima it is impossible...ila mahakama itatumia busara...ni vema wasifungwe...kwani mahakama ikitumia sheria baadhi yao watafungwa...no doubt about it...busara itawale tu...
 
Jaribu kutumia japo sehemu ndogo ya akili yako. Watuhumiwa ni kutoka sehemu mbalimbali za nchi, kuna ubaya gani wananchi wenye mapenzi mema toka kila sehemu wanakotoka watuhumiwa kuja kusikiliza hukumu ya ndugu zao? Una ushahidi gani kuwa watu hao waliletwa na CHADEMA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Go and look the life they are living, Politicians from both sides, halafu angalia maisha ya Watanzania waliowengi halafu rudi na comment yako boya wewe. Wangekuwa wanawapambania Watanzania wangekubali kuishi maisha ya anasa wanayoishi na familia zao wakati maisha ya Watanzania yapo taabani. Kama wewe ni one of them sawa, lakini
Ndo mana inatakiwa chama tawala kitoke madarakani kiingie upinzani ili kuwe na challenges, maisha yatabadilika tu
Hakuna Chama kitabadilisha chochote , Watanzania ni wale wale, tofauti ni hawa wapo huku hawa wapo kule. Huhitaji kuumiza kichwa angalia wanavyoongoza vyama vyao then come back and say hawa ni nafuu. Hamna kitu, the only means ni wewe kupambana na kuingia ulingoni Kama wao na Kama huwezi ni upuuzi kukubali wakutumie Kama mtaji wao!
 
Nafikiri kwa umati uliofika hapo hakimu amekuwa stressed kuliko kawaida. Which is wrong but the worst part health wise rules were not met. Na haya mambo ta corona. They were supposed to take caution
Kwa upande wa watuhumiwa this is what we call love
Kwa CCM ni clue kwamba cdm haijakufa as wanavyofikir and they are stronger than ever
 
Police nyie ni watu wa ajabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Usini-drag kwenye ujinga wako bana hebu temana na mimi. Hao CCM miaka yote hiyo wamefanya kitu gani mpaka muendelee kuwaimbia mapambio kila siku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…