Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Hukumu ww ndio huijui, ila sisi tunajua hukumu jiwe ameshaiandika, hapo mahakamani kampa tu kada wa ccm aisome.
Kwa hiyo mkishinda huyo jiwe atakuwa mtenda haki?
 
Kinachofuata hapa ni Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Kisutu, Thomas Simba amemaliza kupitia na kuchambua ushahidi uliotolewa na mashihidi nane wa upande wa mashtaka na mashidi 15 wa upande wa utetezi .

Kinachofuata ni kupitia baadhi ya kesi zinazofanana na kesi hiyo pamoja na kutafsiri sheria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani hawape dola hawa? bado saaana wananuka maziwa mdomoni! Hawajui lolote kuhusu nchi inaendeshwaje? Hata hivyo viongozi wao wa juu wako kibiashara na kula ruzuku! Ukitoa dau kubwa unapewa nafasi ukagombee urais

Utakuwa upo usingizini unaota ndoto.

Jifunike zaidi kungali usiku mkubwa.
 
Kwani Mbowe na wenzake walitoa Siri za serikali ? unaelewa hii kesi inahusu nini..?
Mnashobokea Marekani wakati hamuijui vizuri Marekani! Marekani kuna jera nyingi kuliko jumla ya nyumba za kuabudia! Ukizingua tu Marekani unaswekwa jera na uruhusiwi kuajiriwa!
 
Na wengine tuendelee na ndoto yetu ya kutafuta demokrasia ndani ya chama.
Tuhakikishe hakuna tena atakayetishiwa kuonja sumu.
 
Leo kwenda kulala kitanda na Mamtei itakuwa nadra leo ni segera na nyapara wako Adam hizo Ndio siasa Mbowe ungekuwa unalimama nyanya kwenye shamba la mzee Aikaeli haya yasingejitokeza , siasa ni gharama Mangi. Tumia plan B kukata rufaa kama faini haitakuwepo.
 
Mbowe mimacho inamtoka kama mjusi kabanwa na mlango, kuna AC ila jasho anatoka kaloa moyo speed kali.. [emoji23] hadi huruma, hana usemi kakubali kiulaini kuelekea kibra, chali.[emoji851]
Kicheko cha zuzu asie na nyuma wala mbele alieshiba ugali wa mchana na kuona kuwa ameshawin haya maisha!

Nakuita Zuzu kwa sababu mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kucheka pale mtu anaponyang'anywa haki yake ya kuishi na waliomnyang'anya haki hiyo wapo na wanadunda!Walionyanyua bunduki na kumpiga risasi Akwilina

hawajawahi kufikishwa mahakamani ila unakuja hapa na kitambi chako cha ugali wa mchana na kucheka kicheko cha ngedere alieshiba mahindi mabichi!
 
Kwan yeye ndo wa kwanza kufungwa Mandela alikaa miaka 27 jela
 
Kukiwasha nchi nzima it is impossible...ila mahakama itatumia busara...ni vema wasifungwe...kwani mahakama ikitumia sheria baadhi yao watafungwa...no doubt about it...busara itawale tu...

Hatuhitaji busara wala huruma yoyote zaidi ya haki, na sio hizo sheria za kutii atakacho mtawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…