G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Mashtaka 12 kati ya 13 waliyofunguliwa Mbowe na wenzake yamethibitshwa na mahakama kuwa ni ya kweli. Shtaka moja tu la kula njama ndilo lililoondolewa.
Kwa maana hiyo Mbowe na wenzake walisababisha mauaji!
Mkuu mbona una wasiwasi sana?!Mashtaka 12 kati ya 13 waliyofunguliwa Mbowe na wenzake yamethibitshwa na mahakama kuwa ni ya kweli. Shtaka moja tu la kula njama ndilo lililoondolewa.
Kwa maana hiyo Mbowe na wenzake walisababisha mauaji!
Wameletwa humu wako kazini, wako wengi nchi imeingiliwa nakuambiaKuna watu wanazingua, ukitia tu kakoment kako hao wametia timu halafu siyo mara moja wala mara mbili halafu wanakuja in an offending manner hata kama comment yako ilikuwa tu fair! Kisa umetofautiana nao mtazamo!
ndio ila sio kama wako uliogota kwenye upumbavu..
CCM kazini.....Mbowe, mdee hawachomoki ubatizo wa moto ndio huu chezea ngosha wewe
'No one is above the law'Mashtaka 12 kati ya 13 waliyofunguliwa Mbowe na wenzake yamethibitshwa na mahakama kuwa ni ya kweli. Shtaka moja tu la kula njama ndilo lililoondolewa.
Kwa maana hiyo Mbowe na wenzake walisababisha mauaji ingawa halikuwa shtaka la msingi hivyo halitajadiliwa na mahakama hiyo!