Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Bola waende jela miezi 5 watoke mwezi wa 8 wakiwa wamoto na wapya kabisa alafu tunaenda kwenye uchaguzi ..... kuliko kumlipa jiwe na mahakama zake hela zote hizo kalibu nusu bililion
Hapana mkuu hizo pesa sio nyingi. Tutachanga. Kukaa jela miezi mitano ni muda mrefu. Tunawahitaji katika kupanga mikakati ya kuingia ikulu October.
 
Naona Magufuli kapata hela ya kumalizia SGR
 
#Hukumu_Kesi_Mbowe_Na_Wenzake
Kosa la 2wote10m
Kosa la 3wote10m
Kosa la 4wote10m
Kosa la 5Mbowe10m
Kosa la 6Mbowe10m
Kosa la 7 Mdee10M
Kosa la 8 Heche10M
Kosa la 9 Mbowe5m
Kosa la 10 Mbowe5m
Kosa la 11 Mbowe10m
Kosa la 12 Mbowe Msigwa10m
Kosa la 13 Mbowe Bulaya10m
Au miezi5 jela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kulipa faini ndo kifungo tu ingawa inakupa option ya kuchagua wewe mfungwa. Kwa mfano ukihukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini laki 5 hapo kifungo ni miaka 2 ambayo inakufanya upoteze sifa ya kuchaguliwa uongozi. Kumbuka hawa ni wanasiasa!
Hahahaaaaa! Usiitafsiri sheria kama madaraja ya ulanzi yaani mtogwa, mkangafu na mdindifu.

Ukilipa faini historia ya kesi inaishia hapo unarudi bungeni kuendelea kula bata!
 
Faini ya buku, hapana wale mvua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…