Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu hizo pesa sio nyingi. Tutachanga. Kukaa jela miezi mitano ni muda mrefu. Tunawahitaji katika kupanga mikakati ya kuingia ikulu October.Bola waende jela miezi 5 watoke mwezi wa 8 wakiwa wamoto na wapya kabisa alafu tunaenda kwenye uchaguzi ..... kuliko kumlipa jiwe na mahakama zake hela zote hizo kalibu nusu bililion
GOD HAVE MERCY RISASI WAPIGE WENGI KUFUNGWA, WAFUNGWE WENGINE.
HakikaWakili mwenye akili hujua matokeo kabla ya hukumu, so alijipanga ili wateja wake wapewe hukumu yenye nafuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wiki ndefu sana, ndan ya masaa 24 huo mpunga unapatikana na zaidi, vise mashilingi atabebwa kivukoni
Washanjiandaa kisaikolojia.Nilipoona tu Tweets za Halima Mdee na Ester Bulaya nilianza Kuogopa na mpaka sasa bado naendelea Kuogopa ila ngojeni tuone!
Itakuwa bado inaendelea,hukumu ikiwa ya ukandamizaji mambo yatakuwa magumu kwa Uongozi wa JiweHivi bado inaendelea? Na hukumu iwe ya haki la sivyo uchaguzi watafanya wenyenye
Kuna ruzuku inaingia kila mwez million 200+Chadema tone namba ya simu tuchangie!!
Tutalipa tu hiyo fine, ili shetani jiwe afahamu kwamba anaowaogopa na kuwachukia tunawaunga mkono.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha dah hawa mahakimu bana.HAKIMU SIMBA: "Mahakama imeepusha adhabu ya vifungo kwa Washitakiwa"
Hahahaaaaa! Usiitafsiri sheria kama madaraja ya ulanzi yaani mtogwa, mkangafu na mdindifu.kulipa faini ndo kifungo tu ingawa inakupa option ya kuchagua wewe mfungwa. Kwa mfano ukihukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini laki 5 hapo kifungo ni miaka 2 ambayo inakufanya upoteze sifa ya kuchaguliwa uongozi. Kumbuka hawa ni wanasiasa!
Faini ya buku, hapana wale mvua tu.Mashtaka 12 kati ya 13 waliyofunguliwa Mbowe na wenzake yamethibitshwa na mahakama kuwa ni ya kweli. Shtaka moja tu la kula njama ndilo lililoondolewa.
Kwa maana hiyo Mbowe na wenzake walisababisha mauaji ingawa halikuwa shtaka la msingi hivyo halitajadiliwa na mahakama hiyo!
Hakimu Simba amesema washtakiwa hao wanashtahili adhabu kali kutokana na makosa waliyotenda. Hii ni baada ya Peter Kibatala kuomba walipe faini badala ya kufungwa jela.