Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,334
Hahahaaaaa....... Usiitafsiri sheria kama madaraja ya ulanzi yaani mtogwa, mkangafu na mdindifu.
Ukilipa faini historia ya kesi inaishia hapo unarudi bungeni kuendelea kula bata!
Kanunue tu. Wakulenge ya kichwa kawaulize ndugu zako wa KibitiCHADEMA wekeni u taratibu wa kuchangia tuchangie.
Natamani sana bunduki tuwe nazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umewaza deep sana Dr. Kweli hii inawezekana.Kabla haujatoka, zinatungwa sheria mpya fasta fasta under emergence order, kwamba mtu hataruhusiwa kugombea urais na/au ubunge ikiwa aliwahi kufungwa jela hadi amalize angalau miaka mitatu uraiani. Hapo ndo utaelewa vizuri Bashiru anavyosema Chama tawala kina faida ya kutumia dola kubaki madarakani alimaanisha nini hasa. Hiki chama "twawala" they will use any vulnerability kuumalizia mbali upinzani. So, inabidi ufikirie kweli kweli kabla ya kuchukua uamuzi wa aina hiyo. Upinzani unafanya kazi kwenye mazingira magumu mno. Paula Paul
Jumla ya faini sh. 350 ml ni makusanyo makubwa kwa serikali kuliko kuwafunga miezi mitano. Lakini kwa CHADEMA na amani ya nchi ni ushindi.Hakimu Mkazi wa mahakama ya Kisutu. Thomas Simba ametoa hukumu kwa John Mnyika, Salim Mwalimu ,Easter Matiko na V.Mashinji kila mmoja kulipa faini ya shilingi Milioni 30. Heche , Msigwa,Mdee na Bulaya Milioni 40 huku Freeman Mbowe akitakiwa kulipa shilingi milioni 70.
Nchi imeishaingiliwa Ndugu yang, hicho kiasi atakuwa Hakimu kaletewa tu orodha na kiasi kila mmoja akaambiwa kuwa yeye Kazi yake nikuandika Maelezo ya Hakumu tu na kusomaWanafilisiwa ili wakose jinsi ya kuendesha kampeni za uchaguzi. Makosa gani hayo yanayogharimu kiasi chote hiki? Na pesa zinakwenda kwa nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
HAKIMU SIMBA: "Mahakama imeepusha adhabu ya vifungo kwa Washitakiwa"
Mahakama ni chombo huru. Achana na haoKuingia msituni ndiyo dawa! View attachment 1383213
Hata hivyo nimiezi mitano kwakila kosa yaani kama umekutwa namakosa 12 inamaana utakaa jela miezi 60 sawasawa na miaka 5Kabla haujatoka, zinatungwa sheria mpya fasta fasta under emergence order, kwamba mtu hataruhusiwa kugombea urais na/au ubunge ikiwa aliwahi kufungwa jela hadi amalize angalau miaka mitatu uraiani. Hapo ndo utaelewa vizuri Bashiru anavyosema Chama tawala kina faida ya kutumia dola kubaki madarakani alimaanisha nini hasa. Hiki chama "twawala" they will use any vulnerability kuumalizia mbali upinzani. So, inabidi ufikirie kweli kweli kabla ya kuchukua uamuzi wa aina hiyo. Upinzani unafanya kazi kwenye mazingira magumu mno. Paula Paul
Hata mimi maamuma wa sheria maana tuliambiwa hukumu leo mbona tena wanaishia wametiwa hatiani kwa makosa 12/13 hivyo wapewe adhabu kali, siku ya kusoma adhabu ni nyingineKwa hiyo technically wanaachiwa Kwa kuwa halikuwa shtaka la msingi...anyway Mimi ni layman kwenye Sheria
Sasa tunawadhalilisha zaidi kwankuwalipia ndani ya 24hours watu 10m wakitoa kila mmoja 350Wakati mwengine Serikali inajidhihilisha hadharani kwamba ndiye mvunjifu wa haki na katiba hapa inchini
Kifupi serikali inajidhalilisha mchana kweupee
Hesabu haziness hivyo mkuu makosa yote ni muesli mitano hatuaidishi maana wanafungwa siku moja kuwa kila kosaHata hivyo nimiezi mitano kwakila kosa yaani kama umekutwa namakosa 12 inamaana utakaa jela miezi 60 sawasawa na miaka 5
Sent using Jamii Forums mobile app
Story hizo'No one is above the law'
Tuendelee na siasa, haya mengine tutapandishana pressure bure.Kwa taarifa yako, sio wife wangu wala wako, wote wanaliwa hata ukiwa huku uraiani. Mimi binafsi nimetembea na wake za watu zaidi ya 15, na nusu ya hao waume zao wanajimudu kimaisha. Yaani suala la kuliwa kwa mwanamke ni given, regadless uko jela, uraiani au umekufa.