Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Japo watalipa fidia ila hii kesi haikuwastahili kabisa. Walionewa tu
 
Kwaiyo unafurahia ishu za kisengerema zinazofanywa na serikali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe hufurahii, haya sasa hukumu tayari. Kinukishe tuone kama una ubavu! Mnakamaaga mitandaoni tu. Sasa kwa taarifa, hukumu imetoka. Faini watalipa au jela wataenda. Na wewe hutafanya kitu zaidi ya kuloloma mtandaoni tu maana ndicho unachoweza!
 
Reactions: UCD
Jela ni kubaya mnoo, mi nimewahi kukaa rumande kwa miezi 2, kwa kosa alilolifanya mtu mwengine kabisa, lakini ningeshauri viongozi wa CHADEMA ni aheri kuenda jela tu kuliko kulipa mamimilioni hayo, wakienda jela wata gain huruma ya Watanzania na watajitangaza zaidi kuliko kampeni yenyewe,

kwa mtazamo wangu ni fursa kubwa sana kwa CHADEMA, miezi mitano kitu gani banaaa katika kipindi hiki ambacho kufanya siasa kwa vyama pinzani ni marufuku? Wapite tu njia ile ile ya wakina Mandela, Walter sisulu, maalim seif and the like.

Democrasia ni gharama, unalipa mamilioni mwenzako anayatumia kwa kukukandamiza zaidi, sasa unafanya siasa gani? Mi nasema hakuna kuwachangia Hawa watu. Dhahabu sharti ipitie kwenye moto ipigwe pigwe na nyundo kubwa ile iitwe dhahabu, tusiwalee Hawa viongozi enendeni tu jela muwe imara zaidi
 
Kama wewe hufurahii, haya sasa hukumu tayari. Kinukishe tuone kama una ubavu! Mnakamaaga mitandaoni tu. Sasa kwa taarifa, hukumu imetoka. Faini watalipa au jela wataenda. Na wewe hutafanya kitu zaidi ya kuloloma mtandaoni tu maana ndicho unachoweza!
Hiyo hukumu imeamrishwa na huyo kichaa mpenda sifa na madaraka wenu ila malipo atayapata hapa kabla hajaenda kujiunga na mababu zake
 
Reactions: UCD
kulipa faini ndo kifungo tu ingawa inakupa option ya kuchagua wewe mfungwa. Kwa mfano ukihukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini laki 5 hapo kifungo ni miaka 2 ambayo inakufanya upoteze sifa ya kuchaguliwa uongozi. Kumbuka hawa ni wanasiasa!
Tafsiri potofu.
 
Poleni watani wetu, yote maisha, atleast case closed, Mwalimu sasa ajitutumue amchangie Matiko fedha hizo sio kula mzigo tu💘
 
Kwani mkuu wameshalipa?,sikuwepo online,,
Mi nashauri walipe tu,mungu atawalipa,kuliko kwenda jela,watakuta akina kubenea washajibinafsishia chams
Walipe tu
Watalipa mkuu!
 
Watanzania kwa porojo na mapambano ya maneno tu tuko vizuri.
 
Reactions: UCD
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…