Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

Kama wewe hufurahii, haya sasa hukumu tayari. Kinukishe tuone kama una ubavu! Mnakamaaga mitandaoni tu. Sasa kwa taarifa, hukumu imetoka. Faini watalipa au jela wataenda. Na wewe hutafanya kitu zaidi ya kuloloma mtandaoni tu maana ndicho unachoweza!
Tutachanga kama wakitoa account lakini jambo kubwa moja kwangu ni kuwa nazidi kuichukia serikali kadri siku zinavyosonga mbele,kwasasa hata nikimkuta mwanaCCM anakufa hapo,mimi nitapita na kuendelea na shughuli zangu!Nimeufunga rasmi moyo wa huruma!
 
Hayo ndio matumizi ya dola,aliyomaanisha Bashiru, Wenye akili zao wanatumia dola,kuiba nje na kuleta ndani,tekinolojia za viwanda,tafiti za mazao,sayansi,kilimo,IT,ili nchi ineemeke,hapa kwetu Bashiru &co,wanatumia dola,kubaki madarakani ili waibe kidogo cha wananchi walichonacho.

Hata kama China hakuna demokrasia kama ya magharibi,lakini kwa mambo mazito yanayofsnywa na serikali yao kwenye nyanja kama Jeshi, sayansi,biashara,sera ya nje,kila mchina lazima anatembea kifua mbele. Hapa kwetu hata kuzalisha sukari na msfuta ya kula,ya kututosha tumeshindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moja ya hukumu ya ovyo kuwahi kufanyika Tanzania.

Watu wamefanya ufisadi wa kutisha nchi hii wameachwa tu na wanatembea vifua mbele leo.

how come kosa la mauaji mtu apigwe faini? inaonyesha jinsi gani Watanzania tunafanywa wapumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…