Daaaah noma sana"Ni kweli,tunatumia dola ili kuongoza nchi"- Dk.Bashiru.
Mkuu Nzwangendaba nadhani point yangu hujaielewa hem tulia kaka soma vizuri nilichokiandika, tafakariHuku unasema Jela ni Kubaya mno huku, unasema Waende jela, una maana gani? Au huko Jela ni kubaya tu kwako wewe ila kwao wao ni sehemu sahihi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sh 350m ni sawa na $ ngapi?Moja ya hukumu ya ovyo kuwai kufanyika Tanzania.
Watu wamefanya ufisadi wa kutisha nchi hii wameachwa tu na wanatembea vifua mbele leo.
how come kosa la mauaji mtu apigwe faini? inaonyesha jinsi gani watanzania tunafanywa wapumbavu.
√√√√√ okayNani kakambia Mr Kiki ni msomi
we kilaza ?
Wewe unaweza nini ndugu?Kama wewe hufurahii, haya sasa hukumu tayari. Kinukishe tuone kama una ubavu! Mnakamaaga mitandaoni tu. Sasa kwa taarifa, hukumu imetoka. Faini watalipa au jela wataenda. Na wewe hutafanya kitu zaidi ya kuloloma mtandaoni tu maana ndicho unachoweza!
Kwani kuna mwanaccm anahitaji huruma yako? Pambana na hali yako mkuu!!Tutachanga kama wakitoa account lakini jambo kubwa moja kwangu ni kuwa nazidi kuichukia serikali kadri siku zinavyosonga mbele,kwasasa hata nikimkuta mwanaCCM anakufa hapo,mimi nitapita na kuendelea na shughuli zangu!Nimeufunga rasmi moyo wa huruma!
😂Watanzania kwa porojo na mapambano ya maneno tu tuko vizuri.
Ukipoteza fedha utazitafuta zingine tana yaweza kuwa mara mbili. Ukipoteza muda hutakaa upate hata one socond ya muda ule in your life time.
Sent using Jamii Forums mobile app
Viongozi wakihukumiwa, wanachama na wafuasi wanachanga. Je, wafuasi na wanachama wakihukumiwa viongozi wanachanga? Chezeeni biashara ya siasa. Zile za Lissu zilifikia kiasi gani?
Jiandaeni! Changeni halafu baadaye TRA inataka kodi yake. Hakuna income isiyo na kodi.
Ni kweli kabisa Mkuu. Ukiona ule umati ulivyokuwa umejazana pale Mahakamani ni ujumbe tosha kwa watawala. Wengi walisikika wakisema "ukimkuta mwanaccm akipambana na nyoka basi piga kichwa chake kisha mwache nyoka aende zake""Tutachanga kama wakitoa account lakini jambo kubwa moja kwangu ni kuwa nazidi kuichukia serikali kadri siku zinavyosonga mbele,kwasasa hata nikimkuta mwanaCCM anakufa hapo,mimi nitapita na kuendelea na shughuli zangu!Nimeufunga rasmi moyo wa huruma!
Napambana na hali yangu kwa style hiyo,jino kwa jino shubaamiti!Kwani kuna mwanaccm anahitaji huruma yako? Pambana na hali yako mkuu!!
Hili lingewezekana kufanyika lingekuwa jambo la msingi zaidi.Watoe bank accounts, tuchangie. Hatutaki watu wasio na hatia wateseke kwaajili ya kupigania haki yetu sote bila ya sisi kushiriki kwa namna nyingine.