Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ahahahahahahah! Mamaangu ni mmoja wa mawakili waliowaahughulikia hao wahalifu! Ahahahahahh!Na mamako pia
PigletIkiwa leo ndio ile siku ilio kua imepangwa ya kuvaa vitambaa kichwan na kuhimiza wanachama wao waakikishe wanafika kwa wing ajabu ni kwamba hata Ile idad ya watu walio fika mliman haikufikiwa hata robo kusema kwel chadema bado Sana kwa watu mlio fika maakaman hamstail kabisa kujiita Wana mageuz mda bado Sana kile kikionekana nje kwa wahisan Kama mnavyo waita wataona hambebeki
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi ndio maana alizaa kiaziAhahahahahahah! Mamaangu ni mmoja wa mawakili waliowaahughulikia hao wahalifu! Ahahahahahh!
Roho inakuuma kama pesa za mamakoJiandaeni! Changeni halafu baadaye TRA inataka kodi yake. Hakuna income isiyo na kodi.
Majuto ni mjukuu!Muda muda! Ahahahahahahh!
Kiazi kinachowashughulikia vilivyo nyumbu kama wewe. Mbowe leo kalala karibu na mtondoo! Ahahahahahahahah!Basi ndio maana alizaa kiazi
Hakuna kitu kama hicho kutokea kwa Chadema.Majuto ni mjukuu!
Ndio hapo mnapofeli,endeleeni kulea vipele,mtashtuka ni majipu!Hakuna kitu kama hicho kutokea kwa Chadema.
Nyie kila siku mnatarajia tu. Au mmekuwa fisi anayeusubiria mkono wa binadamu kuanguka! Ahahahahahah!Ndio hapo mnapofeli,endeleeni kulea vipele,mtashtuka ni majipu!
Fanya sala sana!Nadhani mmekuwa wepesi kusahau,mmesahau ya mkuranga na kibiti!Nyie kila siku mnatarajia tu. Au mmekuwa fisi anayeusubiria mkono wa binadamu kuanguka! Ahahahahahah!
Unamaanisha ninyi ndio "mlimpoteza" Azory Gwanda? Basi sawa. Vyombo vya dola vimesikia.Fanya sala sana!Nadhani mmekuwa wepesi kusahau,mmesahau ya mkuranga na kibiti!
Daah!! Watu wana pesa za kuchezea aiseeh!!
Endeleeni kuweka pamba masikioni!Unamaanisha ninyi ndio "mlimpoteza" Azory Gwanda? Basi sawa. Vyombo vya dola vimesikia.
Acheni uongo