Mahakama ya Kisutu imewatia hatiani Viongozi wa CHADEMA na kuwahukumu kulipa faini ya Tsh. Milioni 350 au kwenda jela, Wapelekwa Segerea

sheiza,
Huu ni muda wenu wa kutambia madaraka, panga mistari yote ili kuficha ukweli. Lakini iko wazi, jiwe ndio anayechafua demokrasia ya nchi yetu, na anatumia madaraka yake kuagiza vyombo vya dola na mahakama kuficha ushenzi wake. Ni suala la muda tu atakaa nje ya hayo madaraka, na atapewa haki yake stahiki.
 
hakuna aliyeandamana. Ebu define kuandamana.... tukiwa tunatoka uwanja wa taifa baada ya mpira kuisha huwa watu wanaandamana?
ushasema hao wanatoka mirani sasa huo ujinga mlikuwa mnaufata huko buibu kulikuwa na mpira au
 
Jamaa kila kona wanatia huruma
Pilato kama atakuwa mkuda nyundo moja moja wote ili iwe fundisho kwa wengine
Wakitoka itabidi wasubiri Mbaka 2025 ndio wagombea tena ubunge
Na mpunga kule kwa job ndugai unapigwa Ban.
Chezea ndevu sio serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaomba updates hatua kwa hatua. Kesi hii inasononesha sana. Lakini itasaidia kujua uhuru na weledi wa mahakama zetu. Yule jaji aliyeombwa ajitoe akakataa ni yupi? Yule jaji aliyetii maagizo ya polisi kufuta dhamani ni yupi? Return Of Undertaker,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani sikujua nabishana na kubwa la wajinga na wapumbavu,ambae ufahamu wake upo kwenye makalio,hivi barua zingetolewa nani angeandaamana hapo,bwege na zuzu wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafurahia uonevu? Wakifungwa hawa au wakinyongwa itafuata zamu yetu na wewe ukiwemo. Ndivyo ilivyokuwa nchi zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikuelewi hivi CHANZO cha kutokea mauaji ni akina Mboe,hivi barua zingetolewa yangetokea maandamano na risasi zingepigwa kweli.sasa CHANZO nani hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Pilato mkuda?
Inategemea mzee baba kutoka burigi kaminywa korodani kiasi gani na mabeberu.
 

Wakifungwa Lema na Prof. Safari wataongoza mapambano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…